Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mambo leo barabara hahahahahahaha nasikia raha ndani ya roho LOL!
 
Congrats wakuu... naona tangu tuwatoe bikira chesi wamekua wanagawa sana aisee
 
Beki tulizeni kichwa nyuma haina aja ya kupanda hovyo sasa hivi . gooooooooooooooooooaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal walcotttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttt
 
wawawawawa。。。。。。。。。North London is back...kumandengeres....Walcott Hoyeeeeeeeeeeeeeee..
 
bado...ikifika dkk ya 90 nitashangilia
 
Hii ndio "open game" tunayotaka siku zote mpira wa kucheza "10 men behind the ball" una madhara "sometimes".
 
Yaaaaani siku hata Niandike NINI........SIJUI KITU KABISA.....Ila Am xtra HAPPY......
 
Hapa sasa ndio wakati wakumtumia walcott kwenye counter attack manake Chelsea hawana jinsi zaidi ya kushambulia.
 
Bado NASRI and VP on Score sheet.....So bado mapambano yananendelea.......Hawa Tunawapiga MKONO.......TRUST ME
 
wawawawawa。。。。。。。。。North London is back...kumandengeres....Walcott Hoyeeeeeeeeeeeeeee..
kha... umenikumbusha primary uswazi miaka hiyoooo

hongereni kwa leo
 
Duh chelsea wamefunga saa ngapi? Otherwise gunners kazeni buti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…