Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sure, dah jamaa alikuwa moto sana. Mlifanya bonge la usajili kwa wakati ule.

Swali:- Lacazette alishawahi kuichezea timu ya taifa?

Sent using Cash Money Wings
Katika mechi za 203 alizocheza lyon alifunga magoli 100,
Ila katika mechi 86 alizocheza arsenal kafunga mara 33....
Timu ya taifa kacheza mara 16 na amefunga mara 3....
.....kifupi jamaa aliupiga mwingi sana lyon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa na million 6 kwa wiki

Hela ndogo sana kwa maisha ya UK

Hata hivyo ndio mishahara ya watoto wa academy, maana amepandishwa Senior team Hata mwez haujaisha

Bado alikuwa anahesabika ni Academy player tu
£12,000 per months ni ndogo kwa maisha ya UK!! Labda ni ndogo kulinganisha na maisha ya wachezaji top wengine.
 
Amini nawaambieni arteta ni kocha mzuri kuliko Lampard na imagine huyu angepewa timu mwanzoni kabisa yan ndani ya mda mchache ameweza kutengeneza structure ambayo inaonekana na amewafanya wachezaji wawe bora zaidi makocha wachache wenye vipaji kama ivyo ndo maana namkubali sana
Sio Lampard mechi 3 anafungwa na manyumbu ameshindwa kimbinu hata na ole gunnar ambaye kimbinu ni mbovu ndo maana nathubutu kusema Lampard hata apewe wachezaji gan hawezi kuwapa kombe chochote Chelsea hata msimu ujao najua mashabiki wa Chelsea watachukia ila makosa yake wanayachukulia poa kwa sababu hawajasajili ndo maana hana pressure ila msimu ujao ndo tutayaona madhaifu yake kimbinu akishapewa pesa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua mashabiki wengi wanatamani tungempata ancelloti kwa sababu ya effect yake ambayo imeifanya everton kutuzidi points ila mimi sina wasiwasi kwann matokeo wanayoyapata everton ni morale ya wachezaji imepanda kwa kiasi kikubwa ila baadae itadrop na kurudi kawaida tu
Arteta priority yake ni kujenga timu iwe na identity na structure ya kueleweka haangalii matokeo ya mechi manake structure ikishakaa vizuri tu ambayo ameweza kuifanya sasa matokeo yataanza kuja tu yenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kiaje?

Team News:

Ozil hajasafiri na timu inasemwa anaumwa, hivyo Joe Willock huenda akaziba nafasi yake.

Matteo Guendouzi nae huenda akaanza mechi ya leo huku Lucas Torreira naeiakiwa ndio anafanyiwa ukaguzi wa mwisho kuamau kama aanze mechi au aingie kipindi cha pili.

Beki wa kati Pablo Mari nae huenda akacheza.

A must win game.

Lakini tukumbuke tuna game la muhimu zaidi jumapili dhidi ya Everton hivyo suala la Ozil hapo juu na upangaji timu la leo ni la kimkakati zaidi.

Everton sasa ni adui mkubwa kwetu na ni lazima awe neutralised.

COYGs!!

Tunae mwenyeji wetu Sokratis beki wetu mshshara hapa mjini Piraeus, Athens.
 
Ozil , tatizo ni mkewe anaweza kujifungua muda wowote

Ila kuna taarifa sina uhakika nayo nilisikia kasafiri

Kivyovyote naona kabisa Willock akianza au akiingia sub

Kama pale kati wataanza Xhaka & Gunduz

Bas #10 aanze Ceballos

LW Martinel CF Lacazette RW pepe
 

I am reliably informed that he has not travelled.
 
Kwangu mkuu naona kinachomuua Lampard ni Nepotism, Hivi mkuu unataka kuniambia kweli Odoi ana-potential kuliko Pulisic???, nachokiona kwa Odoi ni ile media hype tu bt Lampard anampenda sana huyu dogo pia kwa Mason Mount ndio kabisa moyo wa lampard unadundia pale...
 
Pulisic nahisi ni majeruhi
 

Mwaka 2015 kwenye CL Giroud alipiga hat-trick.

Je, historia kujirudia leo kwenye Europa League?

Barcelona wakaja kututoa kwenye last 8

COYGs!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…