computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Anatakiwa apewe hata paundi elfu 50 kwa uwezo wake timu kubwa zishaanza kumfuata fuata ni kama wanatuchokoza chokozaSawa na million 6 kwa wiki
Hela ndogo sana kwa maisha ya UK
Hata hivyo ndio mishahara ya watoto wa academy, maana amepandishwa Senior team Hata mwez haujaisha
Bado alikuwa anahesabika ni Academy player tu
na Batshuayi ?!1 Halaand = 90 Lacazettes
Dogo Halaand muda wote anafikiria kufunga, Lacazette anafikiria kugaragara chini.
Sent using Cash Money Wings
Hahahahahahahahaa@dullyJr Amesema kule
1 Haaland = 100 Batshuayi.
1 Halaand = 90 Lacazette
Lacazette ana nafuu kidogo, ila laca anayo sifa ya ziada vya kugaragara chini bila sababu ya msingi
Sent using Cash Money Wings
Ha ha ha!!@dullyJr Amesema kule
1 Haaland = 100 Batshuayi.
1 Halaand = 90 Lacazette
Lacazette ana nafuu kidogo, ila laca anayo sifa ya ziada vya kugaragara chini bila sababu ya msingi
Sent using Cash Money Wings
Haaaaaa ikisindikizwa na maneno shombo "Wanaume tunajadili mambo yetu......" hahahahaHa ha ha!!
Batshuayi mechi ikiwa inaanza ukimuangalia utasema leo beki pinzani kazi wanayo. Kumbe utumbo mtupu.
Mkuu ile picha ya Mustafi anacheza sijaona kitambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeeh weweYah Batshuayi physically yuko fit. Ila ni uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti.
Tutamuuza msimu huu hata kwa kumshikia mteja bastola amnunue kwa lazima.
Ile picha ya tukunyema huwa naipost mkivurunda kwenye mechi. Kwa kipigo cha juzi mlichotoa, nitaanzia wapi kuipost hapa.
Juzi mliokota pochi ya mzungu goli 4 zote.
Sent using Cash Money Wings
Hili ndilo wengi wetu twapenda kulisikia,Raul Sanllehi has promised Mikel Artera that Arsenal will have a big summer in the transfer window even if #AFC don't reach top 5 this season.
Mkuu hali hubadirika wakati mwingine, Lacazette akiwa Lyon alikuwa vizuri kiwango cha kutisha. Giroud akiwa Montpelier alikuwa vizuri tena mbele ya Ibrahimovic wa kipindi hicho.Hahahahahahahahaa
Erling Braut Haaland's...
29 games
39 goals
6 hat-tricks
Aiseeehh nikifikiria sana naweza kufuru yaani hawa strikers wetu wanatuaibisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hali hubadirika wakati mwingine, Lacazette akiwa Lyon alikuwa vizuri kiwango cha kutisha. Giroud akiwa Montpelier alikuwa vizuri tena mbele ya Ibrahimovic wa kipindi hicho.
Same kwa Chamack enzi za Bourdeux, same applies kwa Debuchy - Newcastle, Kallstroom, Elneny and co.
Kushindwa kufikia matarajio yetu kwao kunaweza kuwepo sababu, hasa doubt na ligi ya France.
Hili la liegue1 nilishalisemaga kitambo sana,Mkuu hali hubadirika wakati mwingine, Lacazette akiwa Lyon alikuwa vizuri kiwango cha kutisha. Giroud akiwa Montpelier alikuwa vizuri tena mbele ya Ibrahimovic wa kipindi hicho.
Same kwa Chamack enzi za Bourdeux, same applies kwa Debuchy - Newcastle, Kallstroom, Elneny and co.
Kushindwa kufikia matarajio yetu kwao kunaweza kuwepo sababu, hasa doubt na ligi ya France.
Yaani ukishasema 'kugalagala' tu najua unamlenga nani....maana kuna hizi code;Yah naungana na wewe kwamba sababu lazima zipo kama:-
1. Kubadilisha mazingira/ugumu wa epl
2. Kubadilika kwa makocha/mifumo ndani ya club
3. Mchezaji huska kuridhika na mafanikio/mshahara/utajiri (kutojiwekea malengo binafsi ya kutwaa tunzo mbalimbali).
Mchezaji mwenye malengo ya kutwaa tunzo hawezi kugaragara uwanjani bali Atapambana, na kujituma kwa moyo wote bila kujali ligi anayocheza.
Auba anapambana sana labda amejiwekea malengo ya kuendelea kuwa mfungaji bora epl/kuacha historia au kuendelea kuziwashi Madrid na Barca wamchukue.
4. Mchezaji kutokutambua thamani ya ile jezi anayovaa (Imebeba historia kubwa na mafanikio ya club na zaidi mioyo ya mashabiki)
Sent using Cash Money Wings
Alishawahi mkuu.Sure, dah jamaa alikuwa moto sana. Mlifanya bonge la usajili kwa wakati ule.
Swali:- Lacazette alishawahi kuichezea timu ya taifa?
Sent using Cash Money Wings