Kama umenotis kitu utagundua uwepo wa ceballos unamfanya Ozil awe mwepes sana na anakuwa huru
Swali linakuja na ndicho kinamsumbua ARTETA
Atumie formation gan ,anahitaji NDANI awe na Xhaka kwa ajiri ya Diagonal passes , Anamuhitaji LT 11 kwa ajiri ya tackling, recovery ,blocking , anamuhitaji Ceballos kwa fast penetrating pass kwenda mbele
Mwisho anamuhitaji Ozil kupeleka mipira ya mwisho kwa forwards
Je tutumie mfumo gani
4-2-3-1 na 4-3-3 inagoma ,4-3-3 itakubid umuache nje Ozil, na Arteta alishasema anajenga timu around Ozil