Hahahaaaaaaaaaa 3doorsHahaha daahh imebidi niangalie last activity ya 3doors na joining ya uyu mdau vinaendana sana jamaa yupo jukwaani kitambo anacheza Kama pele
Weeeeehhhh huyo hasumbui....namjua vema mdogo wangu 3doors hahahaaaaa yupo katika mawindoJamaa kina Aroon, Dully hawajamstukia bado.
Kama unasema Mimi ni milango mitatu sawa siwezi kubishana ila basi tufanye OZIL asiuzwe tumuuze Pepe basi maana unasema nlikuwa namponda pepe nimehamia kwa Ozil basi tumuache OZIL aendelee kuwa namba 10 next season maana ukitoa maoni yako unaonekana milango mitatu haya tufanye limeisha hilo ila jamaa una akili sana ukajuaje Mimi na milango mitatu ni mtu mmoja?kweli una akili sana Big upMkuu nimemfatilia kiaina naona anaanza mdogo mdogo. Ameacha kumponda pepe ameamia kwa Ozil.
Dully Jr unajua laca anafungaga magoli magumu sana ambayo hautegemei kama atafunga ila weakness yake ni kutofunga magoli ambayo unaona hili ni goli na anakosa licha hafungi sana siku hizi naona angepewa last chance apambane au atafute mshauri wa kuongea nae anaweza akabadilika licha kwa sasa anatuudhi sana kwa kutofunga magoli na pia dunia kwa sasa washambuliaji wa maana ni wachache sanaLacazette tangu aje Arsenal hajawahi fikia hata nusu ya kiwango alichokuwa nacho Lyon......soka la England limemkataa,huyu angerudishwa League1
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes Yes Brother.....Jamaa magoli anayofunga ni magumu magumu sana lakini magoli anayokosa sasa dahDully Jr unajua laca anafungaga magoli magumu sana ambayo hautegemei kama atafunga ila weakness yake ni kutofunga magoli ambayo unaona hili ni goli na anakosa licha hafungi sana siku hizi naona angepewa last chance apambane au atafute mshauri wa kuongea nae anaweza akabadilika licha kwa sasa anatuudhi sana kwa kutofunga magoli na pia dunia kwa sasa washambuliaji wa maana ni wachache sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nitamchagua Maddison mkuu, amekamilika zaidi ya Grelish.Hapa ni mtihani kuchagua namba 10 ya maana ila wote hawa wanajua View attachment 1356065
Sent using Jamii Forums mobile app
Dau lake arsenal hawaliwezi, kwa ubahili wa timu binafsi sidhani hata kidogo kama tutaweza kumleta huyu dogo Emirates.Aaron Arsenal nimeikuta kwenye page za Arsenal za mashabiki inaweza kuwa habari nzuri sana kwetu tuchangamkie tenda hii isitupite maana naona bayern Munich nae na Barcelona wameanza kuingilia hili diliView attachment 1355958
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa angekuja kucheza hata namba 10 ila ndo washamuwahi wenzetu tena kwa hela ya kawaida kabisaaah! chelsea washafanya yao kwa bei nafuu na maanisha hakim ziyech kwa £33.3 million, sijui sisi tunasubiria nini?!
Sent using Jamii Forums mobile app
ila Dani Ceballos anaweza akacheza namba ya ozil?!! ukiachana natural position yake 8.Jamaa angekuja kucheza hata namba 10 ila ndo washamuwahi wenzetu tena kwa hela ya kawaida kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo haaminiwi na kocha na sidhani kama atacheza hata mechi 7 yaani kuanza first elevenila Dani Ceballos anaweza akacheza namba ya ozil?!! ukiachana natural position yake 8.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakuja summerAaron Arsenal nimeikuta kwenye page za Arsenal za mashabiki inaweza kuwa habari nzuri sana kwetu tuchangamkie tenda hii isitupite maana naona bayern Munich nae na Barcelona wameanza kuingilia hili diliView attachment 1355958
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Summer Arsenal walipeleka mezani £60m ikakataliwa , maana clause yake ilikuwa £100mDau lake arsenal hawaliwezi, kwa ubahili wa timu binafsi sidhani hata kidogo kama tutaweza kumleta huyu dogo Emirates.
Arsenal kama wanahitaji mmoja hapo atasajiliwa Madders kwa kigezo cha umri, ni sawa na battle kati ya Pepe na Zaha ilivyokuwa last summer.Hapa ni mtihani kuchagua namba 10 ya maana ila wote hawa wanajua View attachment 1356065
Sent using Jamii Forums mobile app