computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Mkuu ni leo tu na kwa kikosi kilichoanza sioni ajabu ya kinachochezwa nlivyoona tu list nkajua apa hamna kituTangu Arteta awe kocha sikuwahi kuangalia mechi za Arsenal chini yake
Leo nimebahatika naangalia hapa, huo mpira mzuri Aaron anaosemaga hapa Arsenal wanaucheza mbona sijauona?
Naona Burley ndio wametawala dimba.
Sent using Cash Money Wings
Uyu hakutakiwa awepo apo kati angekaa auba uku kushoto angekuja MartinelLacazette Lacazette Lacazette.
Huyu aende tu, anatujazia wingi wa wachezaji. Ni bora kuwa na no.9 mwingine kuliko kumtegemea huyu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani toreira ana injury au shida nini?Dah kipindi cha kwanza tumecheza vibaya sana sana hapa anahitajika torreira kati sababu tunawaachia jamaa wanakuja tu kizembezembe na kupiga mipira mirefu bila sababu na pepe anahitajika kwa haraka sababu mbele hatuwasumbui kabisa jamaa beki zao za kati kila saa zimekuwa washambuliaji kwetu ila pia tukubali tukatae OZIL anatusindikiza hana jipya wala maajabu labda labda second half abadilike ila arteta asipofanya mabadiliko weekend mapema itaishia kuwa chungu na ndefu kwetu na Lacazette dah huyu hata sijui nimuongelee vipi yaani kila mechi yupo poor poor
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa simkubali kishenz, sijui arteta anamuonaje aisee.Lacazette Lacazette Lacazette.
Huyu aende tu, anatujazia wingi wa wachezaji. Ni bora kuwa na no.9 mwingine kuliko kumtegemea huyu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Laccazete sijui ana matatizo gani, anacheza hovyo leo. Anatoa pasi mbovu.Huyu jamaa simkubali kishenz, sijui arteta anamuonaje aisee.
Hapo mbele angekuwa anasimama auba tungekuwa tunauhakika na goal zake mbil per game, sema yupo huyo ndezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ni rasmi kuwa Arteta ana chuki na Ceballos.Arteta bado ana kazi ya kuitengeneza hii timu. Hizi sub za Willock zinatakiwa zisiwepo kabisa. Aendelee kuleta wachezaji watakaoendena na Falsafa yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
@milangomitatu karibu tena mkuu.NA LEO MTAIPATA, KUNA RED CARD TENA HAPA..TOREIRA NA XHAKA WANA YELLOW KUNA YELLOW YA PILI INAKUJA...pambaf
Sent using Jamii Forums mobile app
Na pepe pia alikuwa anampa nafasi sababu Auba hayupo na Nelson akirudi unaweza shangaa Pepe hata sub asiwepo
Milangomitatu atakuja kututukana ila ukweli anaongeaga sasa ona tunavyocheza yaani tunakoswakoswa tuombe mechi iishe salama@milangomitatu karibu tena mkuu.
Namuona Pepe tofauti kabisa na mnabyomuona. He's not good enough, "habadiliki na hafundishiki", hata Emery amelisema hilo.Milangomitatu atakuja kututukana ila ukweli anaongeaga sasa ona tunavyocheza yaani tunakoswakoswa tuombe mechi iishe salama
Pepe na ceballos ni watu ambao wangeweza kubadili matokeo badala yake unamuingiza willock tena tushazidiwa sasa kwa nini anaonyesha Chuki za wazwaz kwa hawa watu?
Sent using Jamii Forums mobile app