Sijui kwanini squailacci kapigwa bench kama ni mzima Wenger ana lake jambo.niliangalia list haraka haraka sikugundua nimestuka sasa hivi kuona djouro na koscienly ndio wako.
Johan Djourou, Van Persie na Walcott ni chaguo zuri sana. Wenger anataka magoli ya harakaharaka na ambapo Van Persie na Walcott wata-provide that.
Johan ni mzuri zaidi ya Squillaci kwani yeye ana physical presence na ni makini ukilinganisha na Squillaci ambae huwa wakti mwingine anagongana na Koscielny na kusababisha mtafaruku kwenye eneo la 18 la Arsenal.
Why Koscielny ahead of Squillac?? Theo to me is a supper sub with his pace.... Andrey Arshavin could start, The kid Wilshere is great but not in such Big games, Rosicky could use his experience.....Anyway, we shall see....God Bless Gooners
Johan ni mzuri zaidi ya Squillaci kwani yeye ana physical presence na ni makini ukilinganisha na Squillaci ambae huwa wakti mwingine anagongana na Koscielny na kusababisha mtafaruku kwenye eneo la 18 la Arsenal.
Arshavin alikuwa na poor form pale Old Trafford na mzee Wenger ametambua hilo. Unajua katika mechi kama hii mwelekeo wa mchezo unatakiwa ule na "good finishing" na Arshavin alipoteza mipira mingi sana dhidi ya Man U na leo ni vizuri akaja kipindi cha pili.
kwenye swala la kumuanzisha walcott mbele ya Arshavin ni safi sana kutokana na perfomance ya arshavin mechi ya mwisho.Arshavin alikuwa na poor form pale Old Trafford na mzee Wenger ametambua hilo. Unajua katika mechi kama hii mwelekeo wa mchezo unatakiwa ule na "good finishing" na Arshavin alipoteza mipira mingi sana dhidi ya Man U na leo ni vizuri akaja kipindi cha pili.
Dont u think a game like this needs UZOEFU?????? The ability of Theo and Arshavin on turning the game round at anytime I dont think its s'thing undebatable.....Au????????
Tatizo sio djouro ,:whoo:.Squaillaci katulia sana pale nyuma kutokana na experience mkuu.Koscienly hana experience ya kutosha ndio maana unamuona anatetemeka mara nyingi na kuchanganyikiwa pale nyuma.
Mkuu hapa walcott anaweza kusaidia kwenye pace na kama hatoweza kufanya vituz arshavin atakuja kubadirisha game.
Dont u think a game like this needs UZOEFU?????? The ability of Theo and Arshavin on turning the game round at anytime I dont think its s'thing undebatable.....Au????????