Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mkuu mm nazungumzia mech ya Leo ,sio overallMkuu hao wachezaji wako wa kingereza hakuna kitu kuanzia Willock, Holding, AM na huyo Nketiah uliyekua una msifia.
Ukweli ni kuwa media zinawakuza ila uwezo hawana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anayesema wanatosha huyo anakoseaMkuu kuna watu humu wamefunga macho na kuziba masikio hawataki kuona wala kusikia ukweli ukiongelewa.
Mfano inshu ya CBs leo wamecheza wote kasoro Luiz, ila unaona kabisa tunatakiwa tuongeze CB mwenye uzoefu. Ila humu watu wanadai CBs tulionao wanatosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Negotiation tu walishindwanaJamani hebu tuacheni kutetea vitu vyeupe kama hivi
Mkuu toka Holding atoke injury hajawa yule tunayemjua, amepoteza ubora, kujihamini pia hana mechi fitness. Kwa hali tuliyonayo sasa tunahitaji CBs aliye mzoefu atakayeleta impact .Napingana na wewe mkuu!
Holding ana uwezo mkubwa sana.
Wamemfutia red yake auDavid Luiz is back for Burnley game. Good news
Ni mech 1 tu anakosa , Kosa lake sio serious kama la AubaWamemfutia red yake au
Dogo anajitahidi siku hizi.... Acheze hukohuko abadili nafasi kama Bellerin.Only Martinelli (13) and Aubameyang (17) have provided more direct goal contributions for Arsenal than Saka this season (9).
A total of three goals and six assists for the 18-year-old.View attachment 1337741
Yah acheze FB maana kule Winger kuna Martinel , Auba na bado Arteta ana mpango wa kuongeza Winger mwingineDogo anajitahidi siku hizi.... Acheze hukohuko abadili nafasi kama Bellerin.
Ni kweli mkuu lakini ubora wake wa asili bado upo pale pale na hatuwezi muhukumu kwa reason hiyo. With time atakaa sawa tuMkuu toka Holding atoke injury hajawa yule tunayemjua, amepoteza ubora, kujihamini pia hana mechi fitness. Kwa hali tuliyonayo sasa tunahitaji CBs aliye mzoefu atakayeleta impact .
Sent using Jamii Forums mobile app