Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
sasa winger wa nini tena!|Double transfer blast|
Thomas Lemar is close to leaving Atletico Madrid for Arsenal
[@okdiario] via Marca
Arsenal have submitted a €31.5m loan with obligation to buy offer for Mykola Matviyenko and it is ready to be accepted
[@footballua_tv]
Lemar anacheza pia CM ,sasa winger wa nini tena!
mbona tunaitaji DM, CM na defender.
arsenal ndo shidaa yao hiyo, mara nyingi wanaangaika na nafasi ambazo hazina uhitaji sana.
bora tusubiri usajili mkubwa wa mwisho wa msimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sawa!.. Maana kwenye winger!.. Naona hatuna tatizo kubwa kama huko kwa beki na midifilidiLemar anacheza pia CM ,
Hapa Arteta hajawa mkweli kuna jambo analificha.Arteta on Ceballos:
“I had a conversation with Dani. I heard about those things, but I have nothing to comment. He needs to get back to fitness and fight for his place.”View attachment 1333032
Hapa Arteta hajawa mkweli kuna jambo analificha.
Uwezeano wa Ceballos kuwepo msimu ujao ni mdogo na kumbakiza itahitaji gharama kubwa au atatumika kama chambo kwa Madrid kumpata Aubemayang. Kuepuka mtego huo Arteta anaona bora asimtumie/kuwepo kwenye mipango yake.
Huku Ceballos akihitaji kucheza mara kwa mara ili apate nafasi ya kuitwa national team kwa ajili ya Euro 2020. Kukosa nafasi ya kucheza Arsenal imemfanya kuomba Madrid wakatishe mkopo wake ili apate timu ya kuichezea regular.
Hii situation inaathiri pande zote mbili ila Arteta anapodai Ceballos bado hajawa fit kupambania nafasi ilihali watoto kama Willock wanacheza ni uongo mchana kweupe. Kwa hili Arteta umedanganya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usemacho hata kuna jamaa angu mmoja ameniambia kama wewe , ila binafsi nataka nithibitishe kwenye mechi ya FA CUP jtatu ,Hapa Arteta hajawa mkweli kuna jambo analificha.
Uwezeano wa Ceballos kuwepo msimu ujao ni mdogo na kumbakiza itahitaji gharama kubwa au atatumika kama chambo kwa Madrid kumpata Aubemayang. Kuepuka mtego huo Arteta anaona bora asimtumie/kuwepo kwenye mipango yake.
Huku Ceballos akihitaji kucheza mara kwa mara ili apate nafasi ya kuitwa national team kwa ajili ya Euro 2020. Kukosa nafasi ya kucheza Arsenal imemfanya kuomba Madrid wakatishe mkopo wake ili apate timu ya kuichezea regular.
Hii situation inaathiri pande zote mbili ila Arteta anapodai Ceballos bado hajawa fit kupambania nafasi ilihali watoto kama Willock wanacheza ni uongo mchana kweupe. Kwa hili Arteta umedanganya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio sababu hata Bellerin kachelewa kuanza kucheza , japo alishapona kitamboMkuu inawezekana ni kweli Ceballos hajawa fit, au hajafikia level Arteta anazotaka ili aanze kikosi cha kwanza.
Sidhani kama Arteta kwa kipindi alichofika ashaanza kuleta mambo ya Emery, ya kutenga wachezaji.
By the way mimi sio fan wa Ceballos, hata akiondoka Sawa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi binafsi natamani hata awe anaanza.... Anajituma sana,hata kukaba anakaba...kiukweli I prefer this boy rather than that man.Hii ndio sababu hata Bellerin kachelewa kuanza kucheza , japo alishapona kitambo
Ila Arteta ampe dakika kadhaa , jamaa namkubali sana
Ana press , ana shoot , kiukweli Ampe nafasi wapokezane na Ozil
Sasa Matteo hapa anafanya nini??? ila Guendouzi bhanaTraining today ahead FA Cup Monday vs Bornamouth View attachment 1333263View attachment 1333264View attachment 1333265View attachment 1333266
Wezee wangu, Yule Ceballos ni talent kubwa sana, ni suala la muda tu kwa jamaa ku-blow up, natamani sana abaki then tumuevaluate msimu ujao tuone show yake ipo vipi.Hapa Arteta hajawa mkweli kuna jambo analificha.