Heshima kwako Wacha1
Mkuu habari za mida tangu upate kichapo sikuoni umejificha wapi ohoo anyway hayo yamekwisha tugange yajayo sijui kama utajisiaje kwasababu habari nitakazokupa si nzuri ni sawa na kukupa habari za msiba wa mtu wako wa karibu.Mkuu watoto wa Mzee Wenger watakutana na watandaza mpira wa ukweli Barcelona wenye mafanikio ya kutisha kama uamini muulize msema hovyo Jose atakwambia mwisho wenu ligi ya mabingwa ulaya umetangazwa rasmi leo.
Nawashauri Arsenal wekeni nguvu zenu Carling Cup,ubingwa wa Uk na ubingwa wa ulaya sahauni kabisa.
Kumbe hata hujui unaogopa nini? Mbona Arsene Wenger alisema tayari last week kwamba tunawahitaji hawa paka tuwafunze adabu hata wachezaji walisema au hufahamu? [URL="http://[URL="https://www.jamiiforums.com/sports-and-entertainment-forum/56188-arsenal-new-era-at-the-emirates-13.html"]Follow the bee[/URL]

Mwanangu hapa unajidanganya mwenyewe na Wenger wako, kwa Arsenal hii tunayoijua au Arsenal nyingine? sincerely Barcelona are too big for Arsenal.
Heshima Wacha1,
Mkuu inaelekea wewe ni komando wa Yanga au Simba hawa jamaa wana sifa moja kubwa kujipa moyo wa matumaini kwa mambo wasiyaweza
Acha uoga kwani Barca hawAFUNGINGI hebu mpigie David Trezeguet akupe siri ya Hercules kumfunga Barca 2-0Balaaa ,nimempigia Wenger nimemwmabia nguvu zote sasa FA cup na premier league ni noma.
Acha uoga kwani Barca hawAFUNGINGI hebu mpigie David Trezeguet akupe siri ya Hercules kumfunga Barca 2-0
Lol!Thats history .... .... .... waswahili walisema tugange yajayo.