Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Badilika kwenye uandishi wako mkuu maana mtu ambae alielimika shule ya msingi hawezi kutumia namna ya uandishi wako weka settings kwenye keyboard yako vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumpotezee tusijibu labda atabadilika mana wadau wengi wamemwomba sana na tena kwa busala abadili hayo maandishi anagoma. Hii pekee inaonesha jamaa si muungwana hata kidogo.
 
Maherufi makubwa yanafanya scrolling inakuwa ndefu kinoma. Unazingua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Xhaka : “Sikujua kama mguu wake wa kushoto uko vizuri !”

Bellerín: “Umekua vizuri kwa sababu ya upasuaji!”

#coyg
 
milangomitatu kumbe hukwenda kulala
Huyo jamaa huwa ni mwongo mwongo alituambia anatuachia wenye roho ngumu tuangalie game yeye anaenda kulala ila tulikuwa nae mpaka kipenga cha mwisho....

Nishamwelewa now so hasumbui...

Tupo pamoja nae,ni Gunner mwenzetu ila ni plastic fan....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe tatizo lako ni moja tu,

Una mihemko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…