Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi hesabu zangu zilionyesha tunamaliza nafasi ya 14 ila itabidi ni-review tena maana inawezekana tukashuka daraja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mustafi playing games for this football club in the year TWO THOUSAND AND TWENTY is an embarrassment
Ukisema hivyo maana yake ni kwamba tatizo kubwa haswa then ni ARTETA.

ARTETA ndie anaempanga kwenye kikosi na kumuacha Holding bench, kwahiyo tatizo letu la msingi ni ARTETA now au nakosea???
 
Sasa si uhamie Everton mkuu????
Tuache wenye roho ngumu hapa.....timu itakaa sawa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio nkasema, tukubaliane tu kwamba ARTETA sasa ndio tatizo letu jipya. Maana yeye ndie anaemuacha bench holding na kumpanga mustafi
 
Sasa si uhamie Everton mkuu????
Tuache wenye roho ngumu hapa.....timu itakaa sawa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
KUHAMA SIO SOLUTION WALA KUWA NA ROHO NGUMU SIO ISHU ISHU KUBWA NI KUTOKUSHINDA OVYO OVYO ARSENAL IKISHUKA DARAJA TUNAWEZA HATA MECHI ZAKE ZA CHAMPIONSHIP ZISIONEKANE ILA HATUTAKI KUFIKA WALA KUWAZA HAYO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajiuliza swali Why Mustafi is still an Arsenal Mustafi ni Error prone player jamaa ni Liability kwenye squad ya Arsenal kuendelea kuwa na watu kama hawa inaonesha Arsenal is never that serious.
Kbs Yan kuendelea kua na wa2 kama Mustafi kwny Team yenu ni kuonesha amko serious kbs kwny ushndan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie si ndio mlikuwa mnasema Mzee Wenger mchumi na mbahiri sasa ameshandoka mbona bado mnambwera
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…