Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hiki kitoto Saka uwa mnakishambulia, nakaa nawacheck halafu nabaki kuwashanga. It is 1-0, a combination of 18 years players
Tatizo la saka ni kwenye kudefend ila offensively yuko poa

Uyu Martinel ni mnyama hatakiwi kuachwa uyu dogo ana spirit ya kupambana

Sheffield wanakaba hadi wanaboa ila sio mbaya tukiendeleza mashambuliz second half point 3 zinabaki Emirates

#COYG
 

Namba 3 anacheza lakini position yake
 
WACHEZAJI WA KIAMERICA KUSINI HUWA NI WANAUME NI FIGHTERS MNO UKINIAMBIA UMESAJILI MCHEZAJI WA HUKO HATA KWA BEI YA KAWAIDA SIWEZI KUBISHANA HUMU KUNDINI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulimakafu

Tuliza munkari mkuu hukuandikiwa barua Wala kufuatwa nyumban kwako kuishabikia #TUMEIPENDA WENYEWE ACHA ITUUE POTELEA PWETE

ngoja Arteta akifanya sajili zake ndio turudi kumjudge sio kwa sasa ni mapema mno mkuu
Kwa sasa ukiwa unacheki gemu za arsenal wewe agiza juisi kunywa taratibu lolote linaweza kutokea mda wowote

Tumpe mda Arteta atengeneze timu klopp hajaibuka tu na iyo liva yake ghafla alipewa mda

#COYG
 
Ushoga mwingi Arsn
 
Duh!! Labda baadae timu itakua vizuri..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…