Kwani wewe ni jinsia gani mkuu?maana unaposema uwaachie wanaume wapambane ina maana wewe ni wa upande mwingine.HAHAHA ACHA TUWAACHIE WANAUME WAPAMBANE KUTAFUTA UBINGWA SISI TUENDELEE KUPEANA UPDATES ZA MAZOEZI TU NA TETESI ZA USAJILI AMBAZO NI NDOTO TU HAIELEWEKI NI LINI TUTAKUJA KUTWAA MATAJI MAKUBWA SIONI KAMA BODI INATAKA NINI MBELENI ZAIDI YA KUSHIRIKI EPL NA SASA HIVI NAFASI ZA CHAMPIONS LEAGUE SI ZA MASIHARA HAMNA DIRECTION YOYOTE ILE ACHA TUENDELEE KUSHIRIKI EPL TU BASI TUTAKUJA KUONA MBELENI NINI KITATOKEA
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo pamoja bro!. Wala sikuwa nia mbaya!! Naomba unisamehe kama nimekukwaza!.. Unajua kimsinhi hapa tunapeana kampani siku zinazidi kusonga!.. Sisi wote ni Gunners damu, ila kiukweli wewe na Aroon munaumiaga mno timu ikifanya vibaya! Aroon huwa anapotea hapa kwa siku kadhaa!.. Sasa unaweza ukaona nama tunavyopenda hili chama letu!.. Wewe endelea tu kutoa mawazo yako mkuu, na wengine watakasoa pale watapoona inafaa!.. Pamoja na kwamba tunakulalamikia kuwa unalalamika sana ila nasi tunajifunza pia umuhimu wa timu kuwa na quality players!.. TUKO PAMOJA MKUU, TUENDELEE KUPIGANIA YETU NA TUOMBE TUSHINDE MECHI INAYOFUATA.HAHAHA LICHA KAKA HAPA MWISHONI KAMA UMETAKA KUNITUSI HIVI [emoji16][emoji16][emoji16] ILA UNA AKILI SANA BIG UP MAN NAPENDA MTU WA KUNICHALLENGE KAMA HIVI ILA INAUMA SANA UJUE ACHA TU MAN NIMEIPENDA ARSENAL TANGIA 98 ILA HIVI KARIBUNI MAMBO HAYAELEWEKI KABISA ILA ARTETA ANAJUA KUFUNDISHA INABIDI KUPATA SOME NEW PLAYERS TUTAKAA VIZURI ASANTE KWA MAWAZO YAKO TUPO PAMOJA
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani nawasihi wadau huyu jamaa ni wakumpuuza maana ana bichwa gumu hatari.......MASHABIKI WENZANGU TANGIA UNAI EMERY ASEPE ARSENAL KATIKA MECHI 9 ZA EPL ARSENAL KASHINDA MECHI MOJA TU DHIDI YA MANCHESTER UNITED TUSILISAHAU HILI JAMBO SASA SIJUI TUNASONGA MBELE AU BADO TUPO PALE PALE AU TUMERUDI NYUMA HATUA HAIELEWEKI KUCHEZA MPIRA MZURI BILA POINT 3 NI USELESS YAANI NI KAMA UNAMTONGOZA MSICHANA UNAINGIA NAE CHUMBANI HALAFU MNAISHIA KUANGALIA MOVIE ZA COMEDY BILA IMPACT YOYOTE [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16] THE GUNNERS WENZANGU NAWATAKIA USIKU MWEMA WOTE HUMU JF
Sent using Jamii Forums mobile app
HAHAHA DULLY JR UNANICHEKESHA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo anataka mbappe,messi na ronaldo wasajiliwe haraka Arsenal...
Sent using Jamii Forums mobile app
NIMEONGEA UONGO AU NIMESEMA UKWELI KABLA HAMJANIPUUZA?Jamani nawasihi wadau huyu jamaa ni wakumpuuza maana ana bichwa gumu hatari.......
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazingua sana mkuu....HAHAHA DULLY JR UNANICHEKESHA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni mgumu kuelewa hata ukicholewa picha,wewe mtu unakaza shingo tu
TUPO PAMOJA KAKA MIMI NAPENDA MTU ANAYESEMA UKWELI ILA MTU AMBAYE ANATAKA KUPINDISHA UKWELI KWANGU NAMUONA NI MPUMBAVU AU NI TAAHIRA ILA UKIWA MKWELI KWANGU NI RAFIKI YANGU MFANO TANGIA UNAI EMERY KAONDOKA TUMEKUWA NA MAKOCHA WAWILI ILA HAO WAWILI KWA UJUMLA WAMESHINDA MECHI MOJA ZA EPL KATI YA 9 NA NI DHIDI YA MANCHESTER UNITED SASA HAPO HAIELEWEKI TUPO PALE PALE HATUSONGI YAANI HAIELEWEKI ILA TUNASIFIA TUMECHEZA MPIRA MZURI ILA INATAKIWA UTAFAKARI WHY MECHI 9 ZA EPL TUNASHINDA GAME MOJA WHY???HII NI HATARI SANA KWA TIMU KUBWA KAMA ARSENAL KUSHINDA MECHI MOJA KATI YA 9 NA UKIZNGATIA HIZO MECHI 9 TUMENOLEWA NA MAKOCHA WAWILITupo pamoja bro!. Wala sikuwa nia mbaya!! Naomba unisamehe kama nimekukwaza!.. Unajua kimsinhi hapa tunapeana kampani siku zinazidi kusonga!.. Sisi wote ni Gunners damu, ila kiukweli wewe na Aroon munaumiaga mno timu ikifanya vibaya! Aroon huwa anapotea hapa kwa siku kadhaa!.. Sasa unaweza ukaona nama tunavyopenda hili chama letu!.. Wewe endelea tu kutoa mawazo yako mkuu, na wengine watakasoa pale watapoona inafaa!.. Pamoja na kwamba tunakulalamikia kuwa unalalamika sana ila nasi tunajifunza pia umuhimu wa timu kuwa na quality players!.. TUKO PAMOJA MKUU, TUENDELEE KUPIGANIA YETU NA TUOMBE TUSHINDE MECHI INAYOFUATA.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Tatizo ni mgumu kuelewa hata ukicholewa picha,wewe mtu unakaza shingo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo game na westham ilikuwaje ????wewe hujielewiTUPO PAMOJA KAKA MIMI NAPENDA MTU ANAYESEMA UKWELI ILA MTU AMBAYE ANATAKA KUPINDISHA UKWELI KWANGU NAMUONA NI MPUMBAVU AU NI TAAHIRA ILA UKIWA MKWELI KWANGU NI RAFIKI YANGU MFANO TANGIA UNAI EMERY KAONDOKA TUMEKUWA NA MAKOCHA WAWILI ILA HAO WAWILI KWA UJUMLA WAMESHINDA MECHI MOJA ZA EPL KATI YA 9 NA NI DHIDI YA MANCHESTER UNITED SASA HAPO HAIELEWEKI TUPO PALE PALE HATUSONGI YAANI HAIELEWEKI ILA TUNASIFIA TUMECHEZA MPIRA MZURI ILA INATAKIWA UTAFAKARI WHY MECHI 9 ZA EPL TUNASHIDA MOJA WHY???
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuendelee kumuelimisha polepole huyu ataelewa tu huko mbeleni maana ni mwenzetu.Tatizo ni mgumu kuelewa hata ukicholewa picha,wewe mtu unakaza shingo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu watu wametumia kila aina ya zana ila hiki kichwa ni cha kukipeleka Special needs.........Tuendelee kumuelimisha polepole huyu ataelewa tu huko mbeleni maana ni mwenzetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
SAMAHANI KUMBE NI MECHI MBILI KATIKA MECHI TISA??SAMAHANI SANA KWA KUKOSEA DATA ILA WEWE UNAONAJE?NI SAHIHI KWA ARSENAL KUSHINDA MECHI 2 KATI YA 9 ZA EPL?MAANA HATA HII UMEIKUMBUKA SABABU HATUSHINDI HADI MECHI TUNAZOSHINDA TUNAZIKUMBUKA [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwahiyo game na westham ilikuwaje ????wewe hujielewi
Mwisho wa siku wewe mwenyewe ndio utajiona taahira maana huelewi unachokisimamia.
Alafu kama hujajipanga kuishabikia hii timu bora upumzike maana itakuja ikuue kwa presha bure wenzio tushaizoea ohhhooooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii
Get your data correct hebu.MASHABIKI WENZANGU WA THE GUNNERS TANGIA UNAI EMERY ASEPE ARSENAL KATIKA MECHI 9 ZA EPL ARSENAL KASHINDA MECHI MOJA TU DHIDI YA MANCHESTER UNITED TUSILISAHAU HILI JAMBO SASA SIJUI TUNASONGA MBELE AU BADO TUPO PALE PALE AU TUMERUDI NYUMA HATUA HAIELEWEKI KUCHEZA MPIRA MZURI BILA POINT 3 NI USELESS YAANI NI KAMA UNAMTONGOZA MSICHANA UNAINGIA NAE CHUMBANI HALAFU MNAISHIA KUANGALIA MOVIE ZA COMEDY BILA IMPACT YOYOTE [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16] THE GUNNERS WENZANGU NAWATAKIA USIKU MWEMA WOTE HUMU JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana DullyJr sio wa kumpuuza. Huyu ni mshabiki mwenzetu na ana haki ya mawazo yake hata kama hayapo sawa .Jamani nawasihi wadau huyu jamaa ni wakumpuuza maana ana bichwa gumu hatari.......
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huu ni uongo wa dhati. Tangu Emery aondoke arsenal imeshinda dhidi ya west ham ugenini na dhidi ya United nyumbaniTUPO PAMOJA KAKA MIMI NAPENDA MTU ANAYESEMA UKWELI ILA MTU AMBAYE ANATAKA KUPINDISHA UKWELI KWANGU NAMUONA NI MPUMBAVU AU NI TAAHIRA ILA UKIWA MKWELI KWANGU NI RAFIKI YANGU MFANO TANGIA UNAI EMERY KAONDOKA TUMEKUWA NA MAKOCHA WAWILI ILA HAO WAWILI KWA UJUMLA WAMESHINDA MECHI MOJA ZA EPL KATI YA 9 NA NI DHIDI YA MANCHESTER UNITED SASA HAPO HAIELEWEKI TUPO PALE PALE HATUSONGI YAANI HAIELEWEKI ILA TUNASIFIA TUMECHEZA MPIRA MZURI ILA INATAKIWA UTAFAKARI WHY MECHI 9 ZA EPL TUNASHINDA GAME MOJA WHY???HII NI HATARI SANA KWA TIMU KUBWA KAMA ARSENAL KUSHINDA MECHI MOJA KATI YA 9 NA UKIZNGATIA HIZO MECHI 9 TUMENOLEWA NA MAKOCHA WAWILI
Sent using Jamii Forums mobile app