Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

LEO TUMECHEZA VIZURI NA WACHEZAJI WOTE WAMEUPIGA FIRST HALF SIMLAUMU MTU YOYOTE NGOJA TUONE SECOND HALF

PEPE LEO NDO SIONI MACHACHARI YAKE KAPWAYA KIASI FULANI

NILES KALA KADI YA NJANO AWE MAKINI ZAHA ATAANZA KUPITA UPANDE WAKE KWA KASI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tayari
Screenshot_20200111-164404_All%20Goals.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JIFUNZE KWANZA TOFAUTI YA "R" NA "L" NDIO UJIFUNZE MPIRA.
Kwasasa ni sweet kuitazama Arsenal, Yani baada ya kipindi kirefu Sana, sometimes jifunzeni kwanza mkielewa ndio muje kukosoa. Kwamba kwanini hivi au vile ukijua sababu unakuja hapa sio unakuja hujui sababu unakuja mradi tukusikie. Babu tazama kwanza mpila acha kukurupuka

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAKA HAO WACHEZAJI HAWAWEZI KUTUPELEKA POPOTE PALE NAKWAMBIA SAVE MY COMMENT MUNGU ATUPE UZIMA MARCH AU APRIL NTAKUJA KUKUKUMBUSHA OTHERWISE TUSIPATE MAJERUHI KATIKA HAO FIRST 11 MFANO TORREIRA LENO NA AUBA AU HATA PEPE ARSENAL HAINA WACHEZAJI BACK UP KABISA ONA MFANO BEKI 3 KOLASINAC ALIVYOUMIA TUMESTRUGGLE MNO MNO HUO NI MFANO SI LAZIMA KUSAJILI WACHEZAJI 7 AU 5 NO ILA WACHEZAJI 2 KWA SASA NI LAZIMA KWA NAFASI ZINAZOPWAYA

Sent using Jamii Forums mobile app
AARON REJEA KAULI YANGU YA USAJILI LICHA MECHI HAIJAISHA BADO ILA TORREIRA KAUMIA AUBA NEXT 3 MATCHES HATAKUWEPO NA NDIO TEGEMEO LETU KUBWA KUBWA MNO NGOJA TUONE ILA MIMI NKISEMA NAFAHAMU MPIRA NAONA TUNAENDA KWENYE HALI MBAYA HII MECHI TUOMBE HATA SARE MUNGU ATUSAIDIE ARSENAL IKITAKA KUPAMBANA LAZIMA IINGIE SOKONI ARSENAL HAINA BACK UP PLAYERS NARUDIA TENA HAINA BACK UP PLAYERS

UNASEMA NELSON MATTEO HAO NDO BACK UP HIZO NI MBWEMBWE TU KAKA KATOKA TORREIRA HAPO KATI PAMEPWAYA MPAKA NATAKA NIZIME TV NKAENDELEE NA MAMBO YANGU

NKISEMA NATUKANWA HUMU HAYA NGOJA TUONE SASA

HII MECHI TUKISHINDA ITAKUWA MUNGU AMEAMUA KUWA NA SISI YAANI KUTUPENDELEA
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah wewe jamaa utakuwa una matatizo makubwa, wakati wengine tunachukulia mpira kama burudani naona kwako wewe ni zaidi ya hapo...kwahyo unamuomba Mungu asaidie!!!
AARON REJEA KAULI YANGU YA USAJILI LICHA MECHI HAIJAISHA BADO ILA TORREIRA KAUMIA AUBA NEXT 3 MATCHES HATAKUWEPO NA NDIO TEGEMEO LETU KUBWA KUBWA MNO NGOJA TUONE ILA MIMI NKISEMA NAFAHAMU MPIRA NAONA TUNAENDA KWENYE HALI MBAYA HII MECHI TUOMBE HATA SARE MUNGU ATUSAIDIE ARSENAL IKITAKA KUPAMBANA LAZIMA IINGIE SOKONI ARSENAL HAINA BACK UP PLAYERS NARUDIA TENA HAINA BACK UP PLAYERS

UNASEMA NELSON MATTEO HAO NDO BACK UP HIZO NI MBWEMBWE TU KAKA KATOKA TORREIRA HAPO KATI PAMEPWAYA MPAKA NATAKA NIZIME TV NKAENDELEE NA MAMBO YANGU
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah wewe jamaa utakuwa una matatizo makubwa, wakati wengine tunachukulia mpira kama burudani naona kwako wewe ni zaidi ya hapo...kwahyo unamuomba Mungu asaidie!!!
Burudani yenye maumivu Brother,Hakuna shabiki ambaye ataburudika wakati timu yake inafanya vibaya otherwise uwe huna PASSION na timu yako kutoka ndani ya Moyo.
Hakuna maumivu makali kama ya Football kwa sisi wenye Passion na huu mchezo.
 
Back
Top Bottom