Auba amesajiriwaje kibahati? Sijakuelewa hapa ,
Kreonke family imeanza kuimiliki Arsenal 100% mwaka Jana ,na dirisha kubwa wametoa £130+m za usajiri
Na taarifa zinasema Dirisha kubwa watampa tena Arteta hela zaidi ya £100+m za usajiri .
Unaposema tuuze wachezaji tununue wengine , una uhakika ukimuuza Xhaka utampata mchezaji wa kuziba pengo?
Kumbuka viungo wa kawaida tu ni £50-70m ,
Je umefikiria anaingia kwenye mfumo wa mwalimu, au ndio Yale ya Mou kumsajiri Fred kwa £52m na Sanchez kwa mbwembwe asijue anawatumia vipi?
Nimesema Nelson sio mbaya , chin ya Areta kacheza mech 4 ana goli 1 na assist 1 , na Kama ni mfatiliaji utaona kabisa dogo anabadilika. , ndio maana ni backup ya Pepe, kama atasajiriwa mtu mwingine , dogo akakosa nafas atapelekwa loan , arsenal haiwez kuwauza kwa sasa ,
Willock hawez kupata namba labda ceballos aumie ,