Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Haya katoeni £80m kwa Wilfred Zaha
Haya katoeni £80m kwa Wilfred Zaha
Zaha kabadilisha hadi Wakala apate klabu kubwa , Palace wanataka £80m ,ila vilabu vya EPL vinakaa mbali naye ,Huyo jamaa staki kumsikia kabisa. Willan mzee ni bora kuliko machachari Zaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Baryen Jana wamemtaka kwa mkopo ,palace wamekomaa £80m , baryen wamesema hawawez kufanya huo ujingaHiyo bei kubwa Palace wangemuuza £50M wangepata wateja. Ukiona mchezaji club kama Madrid na Barcelona hawana time naye, wala hawana tetesi naye, jua kiwango chake ni questionable.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana kiburi maana Zaha mwaka Jana alijichanganya akasaini mkataba wa miaka 5
Naona lampard hataki kupigwa ovyo kwenye usajiriDah timu yangu isajili tuu. Haya marudiano na Arsenal itukute tuna silaha mpya za kivita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Joao Felix anasema amekumbuka Benfica
Inaonesha Simeon soka lake limekuwa gumu kwa hawa vijana
Ila kwa rekod zake hapo ATM huyu Lemar , labda aje mkopo kwanza with option to buy.
Sio mbahili , anaonekana hataki kupigwa ,
Sasa hivi ana 27yo + 4years ya katika mkataba wake = 31yo
Ndio maana kamtimua wakala wake na kumuajiri Pin zahavi ,Sasa hivi ana 27yo + 4years ya katika mkataba wake = 31yo
Kwa umri huo mawinga wanakuwa washachoka tayari.....
Hahahahaha alishajikoroga mwenyewe so maisha yake ya mpira yanaishia Crystal Palace huyo.....
Sent using Jamii Forums mobile app
BILA USAJILI HATUTAENDA POPOTE PALE SIONI TAAARIFA ZA WILLOCK NELSON MATTEO ELNENY MUSTAPHI KUUZWA AU KUPELEKWA KWA MKOPO BILA HVYO SARE NA VIPIGO TUTAPOKEA TUKWA TAARIFA TU ZILIZOPO TUSITEGEMEE USAJILI MKUBWA JANUARY
[emoji871] note: huu ni mtazamo kulingana na kauli mbali mbali za viongozi akiwepo pia head coach Mikel Arteta ,
je nazungumza kitu gani ni hiki hapa
[emoji871] head of football Raul sanheil alizungumza na kusema hili dirisha ni ni tactical sana kwa sasa ,
Team pengine inafocus kuona inaziba vipi pengo la chambers aliyeumia bad injury.
[emoji871] na possibility kubwa iliyopo ni usajili wa mkopo ( loan deals) tunalazimika kuziba mapengo kuliko kuongeza depth nafikiri unaweza kunielewa kiasi
[emoji871] hivyo jambo la msingi zaidi ni kumpa muda kocha wetu kutengeneza ambacho tunacho tayari usajili, tu sio mafanikio tosha kama huna strategies sahihi kimbinu na kiuchezaji, Tuneona kwa Emery dirisha kubwa alipewa kiasi cha £137m afanye usajiri , lakini kukosa mbinu , mfumo na falsafa ., Usajiri kwake ulionekana si chochote.
[emoji871] kocha kwasasa ana build culture sio jambo jepesi , tupunguze matarajio kuna wenzetu wanawahi sana kupaniki .
[emoji871] game ya Leeds first half nilipitia comment sehemu mbalimbali , so sad kiukweli ila after final result wakapotea nazungumza nini mpira ni mbinu kila team inakuja kucheza sio sisi tu.
[emoji871] usajili mkubwa ninafikiri pengine ukafanyika Summer baada ya ku offload baadhi ya wachezaji, na kupunguza Wage bills ambayo inaonesha ni kubwa kuliko mapato, hivo Hii itakuwa kama msimu uliopita , dirisha la January Ilifanyika sajiri 1 ya loan with option to buy.,na Summer ndipo ukafanyika usajiri mkubwa.
[emoji871] maana kauli ya sanleh ni ile ile ya msimu jana january alipo letwa denis suarez on loan
[emoji871] tusubir nini kitajiri tufatilie pia post match conference za kocha hasa ya Leo kujua team ina plans gani.
#Hatutoki_na_hatuhamiView attachment 1317530
Usajiri gani mkuu unataka ?BILA USAJILI HATUTAENDA POPOTE PALE SIONI TAAARIFA ZA WILLOCK NELSON MATTEO ELNENY MUSTAPHI KUUZWA AU KUPELEKWA KWA MKOPO BILA HVYO SARE NA VIPIGO TUTAPOKEA TU
TUNA MECHI AWAY NA CITY BILA USAJILI TUTAPIGWA KIPIGO HEAVY
TUNA MECHI EMIRATES NA LIVERPOOL BILA USAJILI TUTAPIGWA KIPIGO HEAVY
TUNA MECHI AWAY NA CHELSEA BILA USAJILI TUTAPIGWA KIPIGO HEAVY
PIA BADO TUNA MECHI NGUMU EPL KAMA UNAVYOJUA LIGI HAITABIRIKI HII HVYO KUSEMA UNATEGEMEA HAO WA JUU NAAPA MSIMU HUU HATA TOP 10 TUTAIPIGANIA KWA KUSHIKA KAMBA
UKWELI LAZIMA USEMWE TUSIJIPE MOYO NA HATA HII MECHI YA JMOSI YA CRYSTAL PALACE AWAY BADO NI NGUMU SABABU TUNA WACHEZAJI BAADHI WAZURI ILA SI KILA SIKU LAZIMA AWE BORA WANAHITAJI WASAIDIZI ILA KAMA WASAIDIZI WENYEWE NDO HAO JUU SIONI KIPYA MSIMU HUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unapata tabu,maana huyu ndugu yetu yeye inapaswa uwe na TEACHING AID ili akuelewe walau kidogo, bila kusahau MBINU SHIRIKISHI ZA UJIFUNZAJI la sivyo anatoka kapa.Usajiri gani mkuu unataka ?
Nelson ,saka , Martinel hawatatolewa kwa mkopo
Hata kilaza willock hatolewi kwa mkopo. Ni chaguo la 3. Kuna Ozil ,ceballos hawa ndio Regular
Neny., Micky wapo loan watauzwa January hii au summer , mustafi kashabadilisha na wakala anasepa , ni chaguo la 3 had la 4
Usajir January ni mgumu na Arsenal wamesema ni tactical hivo watasajiri 1-2 ,
Summer ndio dirisha la kuspend na kuwapata target .
Tusilaumu kila jambo , January hii unasajilije wachezaji 5 ? Wakati summer timu imetoka kutumia £140m , lazima ifanye ku punguza watu na wage bills ili summer irud sokon tena .
Usajiri pekee sio suluhisho ,mbona hujiulizi , Emery alisajiri wachezaji karibu 7 matokeo yake alikuwa anaipeleka klabu shimon?
Tactic , na Ku implement mbinu zikae kwa wachezaji ndio jambo la muhimu
Arsenal haina wachezaji wabovu kama unavyoamin ila ili kosa mwalimu
Wachezaji wanaoongezwa ni nafas ya beki 1 na kiungo 1 bas , Tatizo lipo wapi?
Huwez kumtoa mkopo nelson ambaye Mwalimu kasema anamuamini
Nelson, Gunduz ,ceballos , martinel ,saka wana ubaya gan kama backup ?
Saka anacheza LB akimsaidia kolasinac ,
Nelson anacheza RW akimsaidia pepe
Martinel anacheza LW na CF akimsaidia Auba na Laca
Ceballos amerud anacheza CM na AM akiwasaidia Xhaka na Ozil
Belle amerud kumsaidia Niles ambaye tayari ameshaingia kwenye mfumo wa mwalimu , na ndiye amekuwa chaguo la kwanza.
Mustafi ANAONDOKA , willock yupo hawa ni machaguo ya 3-4
Usajiri wamesema ni wawili au mmoja
Summer ndio wata spend , tatizo lipo wapi? Rejea last season?
Nadhan hajamsikiliza Arteta , angalia Chelsea ,man u, tot bado hawajasajiri , usajiri una mambo mengi ,Mkuu unapata tabu,maana huyu ndugu yetu yeye inapaswa uwe na TEACHING AID ili akuelewe walau kidogo, bila kusahau MBINU SHIRIKISHI ZA UJIFUNZAJI la sivyo anatoka kapa.
Anajua kila ikifika kipindi cha usajiri basi lazima timu inunue rundo la wachezaji bila kuzingatia mahitaji wala sheria na kanuni mbalimbali zilizowekwa......
FFP unaijua?
Sent using Jamii Forums mobile app