Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Ila unamkosea sana Pepe kwa kumlinganisha mpaka na kina James wa Nyumbu.....Value ya kile anachodeliver uwanjani ni kidogo sana, hakiendani na thamani ya pesa aliyolipa.
Mkuu nikuulize swali jibu kimpira mbele yako wamesimama Sane, Marhez, Benardo Silva, Pepe, James wa utd, Bale, Dybala.
Unaambiwa chagua mchezaji mmoja awe kwenye timu yako utachagua nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema kweli!.. Itakuwa wameshampangaKuna jambo sina uhakika nalo ila nahisi ,Arsenal walishampanga Dayot ,wameongea nae , ndio maana Arsenal hatak kusajiri beki mwingine wa long term plan ,anakomaa na Dayot. ,iwe January au summer .
Na Dayot kule kakataa kuongeza mkataba ,
Summer Arsenal walipeleka £60m ikakataliwa (Source: BILD na Sky sport German) wakitaka tuactivate release clause ya £88m
January bado wanakaza , Lakini Arsenal wamekomaa na huyu huyu kama First priority , na taarifa zinasema tukimkosa January tunarud summer na mzigo wa £50m ambapo watamuachia maana mkataba utakuwa unazid kupungua
Maana sio wakihangaika au kuwa serious na target nyingine
Amemkosea sana heshima , yaani anababaishwa na mbio?Ila unamkosea sana Pepe kwa kumlinganisha mpaka na kina James wa Nyumbu.....
Sent using Jamii Forums mobile app
afu jamaa wana majeruhi wengi sana karibia IX wapo injuryPalace wajiandae tunaenda kuwashughulikia
Lile pira alilopigiwa Man utd siku ile , palace atakula CAP