Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
na mkumbushe pia wigan alishawahi kumchalaza mancity 2014 FA Cup kipindi hicho. harafu analeta mihemko yake huku...Umeanza vibaya sana mzee,wewe una mihemko sana...!!!!hata kama unaumizwa na mwenendo wa timu ila hii yako kali mzee.
Tatizo lako wewe sio mvumilivu na huna imani........!!!!!!alafu hivi nani kakuambia kuwa timu ikiwa championship basi ndio mbovu tu?????mpira umeanza kuangalia lini ndugu????umesahau Wigan Athletic washawahi kubeba hili kombe wakiwa championship????LEEDS wapo vizuri bwana ukatae ukubali hata kama Arsenal ni mbovu kwa sasa .....
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo matteo ukimweka sokoni unadhani hatonunulika kwa bei nzuri?! au?! maana naona unaongea porojo tu hapa...Ndo maana ARSENAL HAICHUKUI VIKOMBE VIKUBWA KAMA CHAMPIONS LEAGUE EUROPA EPL KWA TAKRIBANI DECADE IMEPITA SASA ZAIDI YA FA PEKEE NARUDIA ARSENAL NI TIMU KUBWA HAO WACHEZAJI HATA WAENDE KWA MKOPO BADO SIJAONA JIPYA NARUDIA NA UTUNZE HII KAULI
KATIKA MAKINDA ARSENAL INA WACHEZAJI WA3 PEKEE AMBAO HATA SASA WAKIENDA KWA MKOPO BADO WANA VIWANGO NA PIA SI LAZIMA WAENDE HUKO NI MARTINELLI SAKA NA MARTINEZ (GOLIKIPA) HAWA NDO MAKINDA AMBAO HATA TIMU KUBWA ANAWEZA AKAPATA NAMBA
HAO WALIOBAKIA NI UCHAFU TU WAUZWE DIRECT HAWANA MSAADA HATA WAKIRUDI ARSENAL IANZE KUSAJILI WACHEZAJI WA VIWANGO VYA DUNIA HATA KWENDA SOUTH AMERICA MAANA KUNA VIPAJI MNO MFANO MARTINELLI ANA UMRI MDOGO ILA HUWEZI KULINGANISHA NA HAWA WATOTO WA EUROPE AMBAO TUNAO NDO WATACHANGIA SISI KUPATA MAKOMBE KAMA EPL NA MENGINEO MAKUBWA NA PIA LABDA TURUDI KUTAFUTA MADOGO UPYA KUWE NA RECRUITMENT YA UHAKIKA KUANZIA SASA NA SI YA MBABAISHAJI
NASHANGAA SANA MASHABIKI WENZANGU ETI SIJUI NELSON WILLOCK MATTEO ETI WAENDE MKOPO WATARUDI HII NI KAULI YA KUSHANGAZA NDO MAANA ARSENAL INA MIAKA 16 HAIJABEBA EPL KISA MAKINDA KAMA HAWA
Sent using Jamii Forums mobile app
MATTEO AKINUNULIWA ATAENDA TIMU ZILE ZA BOTTOM HALF EPL LAKINI SIO TOP HALF EPL (KAMA UNABISHA UNIAMBIE KATIKA TOP HALF ATAPATA NAMBA TIMU GANI )INATAKIWA UKIMUUZA MCHEZAJI AGOMBANIWE NA TIMU ZA JUU SIO ZA CHINIkwa hiyo matteo ukimweka sokoni unadhani hatonunulika kwa bei nzuri?! au?! maana naona unaongea porojo tu hapa...
Sent using Jamii Forums mobile app
MATTEO AKINUNULIWA ATAENDA TIMU ZILE ZA BOTTOM HALF EPL LAKINI SIO TOP HALF EPL (KAMA UNABISHA UNIAMBIE KATIKA TOP HALF ATAPATA NAMBA TIMU GANI )INATAKIWA UKIMUUZA MCHEZAJI AGOMBANIWE NA TIMU ZA JUU SIO ZA CHINI
ARSENAL KUTOKANA NA UWEZO WAKE KAMA BIG CLUB INATAKIWA IUZE WACHEZAJI KWENYE TIMU KAMA HIZO ILA KWA SASA TUNAISHIA KUWAPELEKA WACHEZAJI KWA MKOPO SABABU WACHEZAJI WENGI HAWANUNULIKI NA HATA TUKILAZIMISHA KUUZA HAWANUNULIKI (MF ELNENY NA MUSTAPHI) KAMA UNABISHA NIAMBIE MWISHO LINI ARSENAL IKATAKA KUUZA MCHEZAJI AKAFANIKIWA KUMUUZA?(UKIACHANA NA IWOBI AMBAYE KIWANGO CHAKE KILIKUWA HAKIELEWEKI NDO AMEENDA EVERTON)
ARSENAL WACHEZAJI AMBAO WANAWEZA PATA NAMBA KATIKA TIMU KUBWA NI WA 5 TU KWA SASA(OZIL(HATA HUYU SI SANA) AUBA LACA PEPE TORREIRA NA LENO)
TUKITAKA TUWE TUNAPATA VIKOMBE LAZIMA TUAACHANE NA HIZI TAKATAKA ZA HAO KINA WILLOCK SABABU UKIANGALIA MAN CITY BARCA MADRID NA WAKUBWA WENGINE HAWATAKI UJINGA UJINGA WAPO SERIOUS SANA NA VIKOMBE VIKUBWA LAZIMA TUWE NA WACHEZAJI ANGALAU 8 WALE WENYE QUALITY YA DUNIA HAO 3 UNAWEZA WATOA ACADEMY TENA WAWE SERIOUS NA WANAUJUA MPIRA ABADANI
Sent using Jamii Forums mobile app
Nkiandika ndogo utasema ni ndogo huoni piaJifunze kutumia herufi ndogo bro, hii inakuwa kama unafoka.
SIWEZI KUHANGAIKA KUTAFUTATafuta maana ya maandishi ya herufi kubwa.
Arsenal inasifika kuwa na mashabiki wengi wanaojinyonga toka Africa, kunauwezekano shabiki atakayefuata kujinyonga akawa milango mitatu maana anaota ndoto za alinacha!.. Eti timu isajili wachezaji tisa, utatoa hizo hela wewe?... Timu zote kubwa huwa zina mchanganyiko wa wachezaji wa kariba ya juu na wachezaji wa kawaida na wanapochangamana wanaleta muunganiko mzuri!.. Ndio maana huko liverpool kuna akina chamberlan, hao ni average players lakini ndio wanaoleta ushindi.. Leceiter city wana average players wwngi mno lakini wanatisha kwa kuwa wana kocha wa kiwango cha dunia!.. Sasa wewe lilia Arsenal inunue akina messi tisa ndio ishinde, utateseka na stress kila siku maana hilo halitokuja kutokea!.. Mimi nakuhakikishia pale tukipata wachezaji 4 wa kariba ya juu (waxhezaji wa £50 hadi 100), narudia tena wachezaji 4 tu utaipenda hii Arsenal yetu!.. Hao wachezaji unaotaka tununue haiwezwkani kwa sababu kuna sheria ya Financial Fair Play hairuhusu.....ARSENAL NI TIMU YETU SOTE LAZIMA TUWE NAO BEGA KWA BEGA ILA MUDA MWINGINE INACHOSHA KUSHABIKIA TOP 4 AU 6 AMBAZO HAZINA MAANA YOYOTE BODI IMESHATULEMAZA SANA SANA HADI MASHABIKI MENTALITY YETU TUKIINGIA TOP 4 AU 6 TUNAPAGAWA KWA FURAHA HILI SUALA LINATAKIWA TULIONDOE KWA SASA TUANZE KUWA NA UHAKIKA NA MAKOMBE
KWA MASHABIKI WENZANGU WA ZAMANI MIAKA YA 90 KATI HADI MIAKA YA 2000 MWANZONI NAJUA MLIKUWA MNAIONA RAHA YA ARSENAL KUBEBA MAKOMBE ILA KWA SASA TIMU IMEKUWA BORA IENDE TU INASIKITISHA SANA ILA KAMA MASHABIKI WATAKUWA NA MENTALITY YA KUTAKA VIKOMBE HATA VIONGOZI WA JUU PIA WATABADILIKA
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe kuwa timu inahitaj watu kama wa 4 hivi na kuhusu kujinyonga [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] siwezi kama kujinyonga ningenyinyonga wakati tumepigwa 8 na MANCHESTER UNITED na 6 bila na CHELSEA ila kama mpaka sasa nipo shaka ondoa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Arsenal inasifika kuwa na mashabiki wengi wanaojinyonga toka Africa, kunauwezekano shabiki atakayefuata kujinyonga akawa milango mitatu maana anaota ndoto za alinacha!.. Eti timu isajili wachezaji tisa, utatoa hizo hela wewe?... Timu zote kubwa huwa zina mchanganyiko wa wachezaji wa kariba ya juu na wachezaji wa kawaida na wanapochangamana wanaleta muunganiko mzuri!.. Ndio maana huko liverpool kuna akina chamberlan, hao ni average players lakini ndio wanaoleta ushindi.. Leceiter city wana average players wwngi mno lakini wanatisha kwa kuwa wana kocha wa kiwango cha dunia!.. Sasa wewe lilia Arsenal inunue akina messi tisa ndio ishinde, utateseka na stress kila siku maana hilo halitokuja kutokea!.. Mimi nakuhakikishia pale tukipata wachezaji 4 wa kariba ya juu (waxhezaji wa £50 hadi 100), narudia tena wachezaji 4 tu utaipenda hii Arsenal yetu!.. Hao wachezaji unaotaka tununue haiwezwkani kwa sababu kuna sheria ya Financial Fair Play hairuhusu.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Tungepata hili jembe mambo yangekuwa murua sanaUpamecano update - we made a new bid. Player wants to come. Arsenal trying very hard.
Kuna tetesi Arsenal wametuma offer nyingine kwa Upamecano!.. Tuombe Mungu hili dili likubali tutakuwa tumepata jembe hasa..Nakubaliana na wewe kuwa timu inahitaj watu kama wa 4 hivi na kuhusu kujinyonga [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] siwezi kama kujinyonga ningenyinyonga wakati tumepigwa 8 na MANCHESTER UNITED na 6 bila na CHELSEA ila kama mpaka sasa nipo shaka ondoa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app