Huu ni uongo ambao ARTETA mwenyewe kaukataa ,Wachezaj Arsenal wazuri nibwengi tu ila kocha ndio alikuwa kilaza ,Mkuu acha masihara. Wachezaji wa4 tuu kuwa level ya mancity?
Mnatakiwa msajili wachezaji 9 ukiondoa Leno na Auba. Na bado mkisajili hao 9 bado hamjafika level ya man city DE BRYUNE mtampata wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unai ndiye kocha wa ovyo kuwahi kumshuhudia Duniani na nadhan hatatokea tena kocha wa ovyo kama UnaiUnder Unai Emery:
50 games 0 cleansheets.
Under Mikel Arteta:
4 games 2 cleansheets.
Unai alaaniwe popote alipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza vibaya sana mzee,wewe una mihemko sana...!!!!hata kama unaumizwa na mwenendo wa timu ila hii yako kali mzee.Wewe kuwa na akili basi Arsenal ni timu kubwa EPL sawa kama tungekuwa tumezidiwa home kwa LEEDS UNITED hilo nisingekuwa na shaka nalo kabisa sababu kuwa home ni moja ya advantage kubwa ishu hapa ni kuzidiwa EMIRATES almost kila kitu tumezidiwa pass ball possession shorts yaani kila kitu tumezidiwa EMIRATES hyo ndo hoja yangu tena na timu ya CHAMPIONSHIP
Jana ni MARTINEZ ndo katuokoa bila yeye game ilishaisha 1st half tungepigwa hata 2 kwa bila hvyo next time hili lisitokee tena na tena hao LEEDS UNITED kila mara muda kama huu huwa wanaongoza ligi yao ikifika May wapo chini wanakuwa vibonde
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejibu vizuri sana mzee.....huu ndio ukomavu na ushabiki wa kweli na sio kuendeshwa na mihemko.Upo irrational katika uchambuzi wa mpira. Hata huangalii timu imepitia changamoto gani in the past two years, unachotaka ni waupige mwingi kwa sababu tu wanacheza na timu ya championship.
Lakini sawa mkuu, kila mtu na maoni yake.
Asipokuelewa na hapa basi huyo haelimishiki.Huyu bwana naangaliaga comment zake, ni wale watu wasiotaka kukubali uhalisia wa hali halisi ilivyo, yaani haangalii kabisa tumu ilipokuwa enzi za Emery na sasa Enzi za Arteta. Ameng'ang'ana wachezaji waliopo hawafai maana wana kiwango kidogo kwa hiuo anataka qualiry players. Sasa mimi najiuliza quality players tunawatoa wapi wakati hata kama tungekuwa na pesa nyingi hatuwezi sajili zaidi ya wachezaji wawili kutokana na financial fair play (nahisi hili halijui). Lakini pia hajawah hata kumpongeza kocha jwa kabumbu tunalosakata sasa mpaka tumeweza kupata clean sheet mbili.. Na sisi tunaojua arsenal enzi na enzi tunajya kabisa kiwa tunaenda kumkalisha palace game inayofuata!.. Jamaa analalamika kuwa tumeshambuliwa sana na timu ya championship, lakini hakumbuki kuwa hatuna right back na hivyo kocha akabadili mfumo ili kuendana na waxhezaji tulionao.. Waxhezaji tulionao mbona timy ilikuwa inaupiga mwingi tu enzi za enzi za wenger tena forwars akiwa Maroune Chamack!.. Ukweli ni kwamba tuna bahati tumepata kocha na atatutoa huko tulipo sasa. Baada ya mechi kumi tutakuwa tunaongea mengine!.. Huyu milango mitatu kazi yake ni kutudiscourage tu hapa kwa malalamiko yake yasioisha.. Yaani jamaa yupo kama mwanamke mwenye gubu ambaye haangalii mazuri uliyotenda!.. Watu wanamlaumu sana Nelson, lakini kwa madogo tulionao pale ni huyu ndio mwenye uzoefu mkubwa sana wa kucheza ligi kuu, msimu ulioisha alitupia goal saba mpaka tukaanza kuomba arudi home, sasa amerudi home watu wanalalamika, yaani wamesahau kuwa hawa wachezaji walikuwa wameharibiwa na Emery!.. Nakuhakikishia kama Emery angeendelea kuwepo hata Auba angeflop tu maana mipora ilikuwa haiensi mbele sasa angefungaje?. Hebu tazama beki yetu ilivyotulia sasa hata kama bado timu zinatushambulia! Zamani ilikuwa ukiona timu inashambulia kwenda langoni mwetu unakuwa unajua kabisa hilo linaenda kuwa bao.. TUMPE ARTETA HAKI YAKE SASA MAANA AMESABABISHA TUNAENDA KUANGALIA MPORA KWA CONFIDENCE NYINGI SANA!.. HAKIKA MUNGU AKUBALIKI SANA ARTETA KWA KUTUONDOLEA STRESS..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana ARSENAL HAICHUKUI VIKOMBE VIKUBWA KAMA CHAMPIONS LEAGUE EUROPA EPL KWA TAKRIBANI DECADE IMEPITA SASA ZAIDI YA FA PEKEE NARUDIA ARSENAL NI TIMU KUBWA HAO WACHEZAJI HATA WAENDE KWA MKOPO BADO SIJAONA JIPYA NARUDIA NA UTUNZE HII KAULIdah we jamaa kilaza na ujui mpira unasema smith, nelson na matteo ni wa kuuza?! hawa ni wakwenda mkopo kukuza vipaji vyao na ni bado wadogo sanaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
WIGAN HAKUWA CHAMPIONSHIP NENDA KAANGALIE TAKWIMU UPYA ALIBEBA KOMBE AKASHUKA DARAJA HAPA UMEKOSEAUmeanza vibaya sana mzee,wewe una mihemko sana...!!!!hata kama unaumizwa na mwenendo wa timu ila hii yako kali mzee.
Tatizo lako wewe sio mvumilivu na huna imani........!!!!!!alafu hivi nani kakuambia kuwa timu ikiwa championship basi ndio mbovu tu?????mpira umeanza kuangalia lini ndugu????umesahau Wigan Athletic washawahi kubeba hili kombe wakiwa championship????LEEDS wapo vizuri bwana ukatae ukubali hata kama Arsenal ni mbovu kwa sasa .....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hata FFP huijui yaelekea....yaani unasema tu tajiri atoe pesa yake tutaelewana mbele,mkuu soka sio uwanjani tu lina mambo mengi....Hahaha (mwanamke mwenye gubu) tayari wachezaji 12 wanatolewa kwa Mkopo wengine permanent move Mimi najua mpira na hata viongozi wa ulaya wamelifahamu hilo
KAMA TUNATAKA MAKOMBE LAZIMA TUSAJILI WACHEZAJI WABOBEZI NA HILO NDO NALISEMA ILA KWA SASA ARTETA ANAJUA ANACHOKIFANYA
ISHU YA ARSENAL KUSHINDWA KUSAJILI HIYO HAINA MSINGI KABISA NA SABABU YA KUSHINDWA KUSAJILI NI UJINGA WA BODI KUWA MAPOYOYO MFANO WILLOCK NELSON MATTEO ELNENY SMITH MUSTAPHI NANI ATAWANUNUA NA BEI GANI?HAO WOTE WAMEKUJA KIUJANJA UJANJA NDO MAANA HATA UKITAKA KUWAUZA INASHINDIKANA MFANO WENYE KUUZIKA NI AUBA PEPE LACA NA UKIWAUZA HAO TIMU SI INAPOTEA??TAJIRI ATOE HELA YAKE HUKO MBELENI TUTAJUA NINI KITAFUATA KWA SASA TUNAHITAJI NEW PLAYERS (SIO ILI MRADI BALI WENYE VIWANGO)
Sent using Jamii Forums mobile app
KabisaHii comment imeandikwa na Shabiki wa Arsenal anayejua mpira,Wanaopingana na wewe ni wababaishaji tu Brother.
Aiseeeehh...hivi hawa LEICESTER wamesajili wachezaji wangapi?LIVERPOOL JE?Mkuu acha masihara. Wachezaji wa4 tuu kuwa level ya mancity?
Mnatakiwa msajili wachezaji 9 ukiondoa Leno na Auba. Na bado mkisajili hao 9 bado hamjafika level ya man city DE BRYUNE mtampata wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa alicomment kindezi sana,hivi wale kina Maddison,Ndidi,Vardy,Robbo,Gini,TAA,....n.k waliletwa katika timu zao wakiwa vile walivyo sasa?si ni juhudi za makocha tu kuwapika vizuri.......Huu ni uongo ambao ARTETA mwenyewe kaukataa ,Wachezaj Arsenal wazuri nibwengi tu ila kocha ndio alikuwa kilaza ,
Sasa hivi hata mabeki wanakaba na kucheza vzr chini ya Arteta , japo bado timu ina mapungufu .
Ila kusema Arsenal nzima wachezaji wazuri ni wawili tu huo ni uongo ,ambao ARTETA amegoma kuuamini , na sasa Kina xhaka , Lt11 ,laca , Luiz , Niles , ozil wanatakata chini yake na kufurahia mbinu zake .
Siku zote Players works on tactic and chemistry, haihitaji quality ya wachezaji 11 ili upate matokeo
Narudia Players works on tactic
Bila chemistry & tactic hata uwe na Best Fifa players of the Year , utapigwa hata na Norwich .
Sasa kuna tofauti gani?si alikuwa bingwa lakini yupo katika ukanda wa kushuka daraja!!!!?sasa huyo ana tofauti gani na yule anayeongoza msimamo wa championship?WIGAN HAKUWA CHAMPIONSHIP NENDA KAANGALIE TAKWIMU UPYA ALIBEBA KOMBE AKASHUKA DARAJA HAPA UMEKOSEA
Sent using Jamii Forums mobile app