Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Nakubaliana na wewe maana ana rate kubwa ya upigaji pass na ndio kitu Arteta anakihitajiView attachment 1313984
Lemar huyu kwakuwa mdogo bado sawa , ila pale atletico sijui nn kimempataNilimzungumzia fundi thomas lemar
Arteta kuna jambo analihitaji
Ozil Pepe and Laca start #afc #arsenal
Arteta amejifunza vingi sana chini ya Pep ,ndio maana last season walikomba mataji yote ya englandBinafsi naona Arteta hataki mchezo kwa hiki kikosi. Ukirejea mechi yetu na Leeds 2012 nayo kikosi kilikuwaga full
Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
Duuuh! Kocha anakamia hadi mechi za FA mkuu
Arteta Leo kwenye press amesema Yupo kupambania taji lolote analoona lipoDuuuh! Kocha anakamia hadi mechi za FA mkuu