ndio maana narudia tena akili zako hazijakomaa.we nzako wanajadili vitu vya msingi kwenye uzi wenu, we huku unaleta matusi yasikuwa na msingi kwenye huu uzi. au hizo bao 2 ulizopokea juzi kati zinakuchetuwa akili?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Good and we will add Granit Xhaka as a bonus...Mirror: Mustafi may still quit Arsenal this month – despite Calum Chambers' injury. The centre-half's representatives are pushing for a meeting with the club's hierarchy as their client has had little game-time this season.
Toka muda mrefu karibu Siku 4 zimepita walisema hivo , alisema Darmaesh Seth reporter wa Sky,Mkuu unazo taarifa kwamba Arteta hatapewa fungu lolote la usajili Dirisha la January. Naona sky spots wametoa hiyo taarifa dk 39 zilizopita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu tatu ndani ya track moja
Acha tu bro, ilikuwa hatari pale kati.Mtu tatu ndani ya track mojaNoma sana tatizo injury-prone
Tukimpata Ziyech itakuwa poa sana| #AFC
Dutch football expert Marcel van der Kraan, says Arsenal stand in a good position to secure Ziyech due to the player’s stance.
"I know that the player is keen on a club like Arsenal, who have always played good football," (Was said in June) [1/2] afcSourceon Twitter
Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app