Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kupata Top defender kwa January huwa ni ngumu ,BOATENG NA DAVID LUIZ HAWANA UTOFAUTI KABISA HAPO TUTAKUWA TUMEPOTEZA PESA
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tuone ila huyu BOATENG ambaye alipinduliwa na Messi akaingia (ndani ya shmo na uzito wake ) na hii EPL ambayo inabidi beki uwe mwepesi na kasi sina hakika ila sababu atakuwa short term ni sawaKupata Top defender kwa January huwa ni ngumu ,
Arsenal wanataka Ku spend summer , January wabakabiliwa na FFP , na RB Leipzig wamegoma kumuachia Dayot January ,
So boateng ni best option kwa short term , ni upgrade ya Mustafi View attachment 1311044
Umesema ukweli, lakini Hapana nakataa kuwa Arsenal imekosa mchezaji mzuri wa kufit nafasi hiyo kwa dirisha hili, its all about economizing, hii timu yetu naijua vizuri, hapo wamepiga hesabu kuna group of young players so wakimleta boateng kushirikiana na luiz watasaidia in short run then watakuwa wamesha add experience kwa hawa Young players, halafu mikataba yao ikiisha wawaache huru kufree wage bills, im sure Arsenal isiposajili beki mdogo january hii hata summer hawawezi sajili beki, sababu hata Saliba atakuwa amerudi, nakuhakikishia hilo.Hesabu za CB wanazopiga bodi kwa long term ni kuhusu Dinos,Saliba,Chambers,Holding basi.Kupata Top defender kwa January huwa ni ngumu ,
Arsenal wanataka Ku spend summer , January wabakabiliwa na FFP , na RB Leipzig wamegoma kumuachia Dayot January ,
So boateng ni best option kwa short term , ni upgrade ya Mustafi View attachment 1311044
Duh! kwa Moto anaowasha Torreira namkumbuka Sven, alimuonaje huyu mtu Sampdoria huko na alivyo mfupi vile?
Sven aliondoka mapema sana
Upo sahihiNa kwa kukusaidia tu Torreira yule wa kule Italy,,hajafikia hata nusu ya ubora wake akiwa Arsenal,,kama akirud ktk ule ubora wake utampenda zaid
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona arsenal wameachana nae boatengUmesema ukweli, lakini Hapana nakataa kuwa Arsenal imekosa mchezaji mzuri wa kufit nafasi hiyo kwa dirisha hili, its all about economizing, hii timu yetu naijua vizuri, hapo wamepiga hesabu kuna group of young players so wakimleta boateng kushirikiana na luiz watasaidia in short run then watakuwa wamesha add experience kwa hawa Young players, halafu mikataba yao ikiisha wawaache huru kufree wage bills, im sure Arsenal isiposajili beki mdogo january hii hata summer hawawezi sajili beki, sababu hata Saliba atakuwa amerudi, nakuhakikishia hilo.Hesabu za CB wanazopiga bodi kwa long term ni kuhusu Dinos,Saliba,Chambers,Holding basi.
Arsenal inasemekana wameachana nae ,Ngoja tuone ila huyu BOATENG ambaye alipinduliwa na Messi akaingia (ndani ya shmo na uzito wake ) na hii EPL ambayo inabidi beki uwe mwepesi na kasi sina hakika ila sababu atakuwa short term ni sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa
Huyu lemar waachane naye kwanza..
Jamaa ameflop sana
Mechi 21 ana goli 0
Duh! kwa Moto anaowasha Torreira namkumbuka Sven, alimuonaje huyu mtu Sampdoria huko na alivyo mfupi vile?
Sven aliondoka mapema sana
Dah kwa Cholo sijui kimempata nini huyu jamaaMie naamini kwa arsenal atazaliwa upya! Ni mchezaji mzuri tu ila naona soka la diego simeone limemshinda ama tuseme el cholo hajaweza kumtumia vizuri