#NEW PROJECT TUZIDI KUMPA SAPOTI ARTETA
wahenga waliwahi kusema pole pole ndio mwendo wakaongeza mvumilivu hula mbivu
japo mimi sio muhenga ila nipe sikio kwenye mtazamo huu
ARTETA VITU ANAHITAJI ILIKUENDESHA PROJECT
Huyu ni kijana pengine kaingia kwenye list ya makocha wadogo kufundisha gunners ok twende pamoja
Arteta anahitaji support sio ya wachezaji tu au board hata mashabiki kumpa muda kuona ana kitu gani anatakiwa kufanya
nakumbuka msimu wa kwanza Guadiola alisota ku install falsafa zake kwa aliwaokuta ujue adaption ina hitaji utayari na muda
arteta ame copy almost 85% ya pep hivyo anahitaji ukamilifu mkubwa unaohitaji muda pia na watu sahihi kwake
aliulizwa kuhusu kusajili akasema anahitaji assessment pia ya kujua atahitaji nini kwenye usajili baada ya kujilidhisha na vile ka fundisha kwa game kadhaa.
arteta amebadili kabisa philosophy mbovu iliyokuwa imejengwa kwa wachezaji kiasi kwamba hata kupiga complete pass ilikuwa ni mtihani japo bado kuna shida kumaliza mechi kwa Spidi ile ile tunayoanza nayo,
ila hili ni swala la adaption tu
arteta atahitaji pia usajili wake ili kuboresha kile anatengeneza ujue ukihitaji kuboss midfield lazima uwe na viungo wenye capability kubwa ya upigaji pass timilifu refer pep na kina xavi na iniesta.
hvyo basi flow yake kimchezo inahitaji pumzi kwa misingi hii anaweza kuleta kiungo mmoja CM january hii ( kama akihitaji)
mwisho narudia kauli yangu niliyowahi kusema players works on tactics na hiki kitu ndio kimeonesha utofauti mkubwa kiuchezaji, arsenal ile ya emery na hii
#Hatutoki_na_hatuhami