Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
EMERY ndio tatizo, alichonganisha mashabiki na Xhaka ,Arsenal fans very hypocrite..... Sahivi ukitembea social networks utaona wanapiga kelele Xhaka abaki wakati ndo haohao walimuombea binti yake apate kansa afe.... Kweli mpira bila unafiki hauendi.
NimekusomaEMERY ndio tatizo, alichonganisha mashabiki na Xhaka ,
Niliwahi kusema humu, Mateo hatakiwi kuanza mbele ya kina Xhaka na LT11 ,
Alichokifanya muhindi , Xhaka anampanga DM ,Mateo namba 8
Sasa xhaka ukimuweka DM anafanya errors kibao ndio shida ikaanza hapo ,had kugombana na mashabiki .
Lakini kiuhalisia Xhaka ni Namba 8 na LT11 ni DM
Hapo ndipo utaifaidi show
Gunduz hajafikia uwezo wa kuanza mbele ya hawa wanaume ,
Arteta kamrudisha LT11 DM na Xhaka as namba 8
Mech ya 4 hii anaperform kwa uwezo mkubwa
Kwahiyo makocha muda mwingine ndio wanatuchonganisha na wachezaji,
Lt11 aligoma hata kumtakia kheri Emery kwa alivyotaka kumuharibia career yake .
Alisema hawez kumchezesha DM eti ni mfupi , View attachment 1310002
IMEKULA KWAKE KAMA SISI ILIVYOKULA KWETU
Craig Pawson mwamuzi aliyechezesha mchezo wa Arsenal dhidi ys Chelsea amepewa adhabu ya kutochukua malipo yoyote jumla ya mechi 21 kwa kutomtoa kwa kadi nyekundu Mchezaji wa Chelsea Gorginho
Mi naona wangemshusha daraja tu
January transfer windowView attachment 1310013
Sawa boss - yangu macho!Aliyekwambia kisa kocha mpya nani?
Arsenal ilishapoteza filosoph yake , hata pass 10 ilishindwa ,
Mech za away tunakaa nyuma
Kila mech kupigiwa mashuti 15+ had 20+ ilikuwa kawaida
Arteta anairudisha timu kwenye njia, na mazoez anachofundisha ndicho tunakiona uwanjani,
Ww unasema kisa kocha mpya ?
Ww endelea kutazama , hakuna uchawi,Sawa boss - yangu macho!
)
Leipzig issue Upamecano statement
RB Leipzig have dented Arsenal’s hopes of signing Dayot Upamecano this month.
Arsenal are currently contemplating making a bid for the 21-year-old centre-back, whom they’ve been long-time admirers of.
Express Sport understands Arsenal’s head of football Raul Sanllehi has held discussions with the Bundesliga side over a potential January deal.
A £50million bid for the Frenchman - who is refusing to sign a new contract at the Red Bull Arena - has been mooted.
Leipzig, however, have publicly declared they have no interest in parting company with the France Under-21 international.
The Bundesliga side issued a defiant statement on Upamenano’s future after seeing a tweet from an Arsenal fan that read: “Me waiting for Upamecano to be announced.”
Leipzig responded to the tweet with GIF of former WWE star Wade Barratt, which had the
AaronWw endelea kutazama , hakuna uchawi,
Tuliyoyaona ya unai emery ,na hadi sasa tunajua kazi kubwa anayoifanya arteta
Ni tactic ndio zinafanya kazi ,mpira ni mchezo wa wazi,
Ljumberg aliachiwa timu bado pamoja na kuweka morali , lkn timu haikuwa naabadiliko makubwa ,maana alikosa Tactic .
Arteta ni fundi
Makocha wakubwa walishamtabiria atakuja kufanya poa sana kwenye tasnia ya soka ,ni swala la Muda tu
Huyu mzee fala sana,yeye ndio alikuwa mchezaji wa 12 wa chelsea siku ile,ndio maana VAR naonaga ni upumbavu tuIMEKULA KWAKE KAMA SISI ILIVYOKULA KWETU
Craig Pawson mwamuzi aliyechezesha mchezo wa Arsenal dhidi ys Chelsea amepewa adhabu ya kutochukua malipo yoyote jumla ya mechi 21 kwa kutomtoa kwa kadi nyekundu Mchezaji wa Chelsea Gorginho
Mi naona wangemshusha daraja tu
January transfer windowView attachment 1310013
Hapana ana kaz maalumu , anakaa jukwaan kusoma mchezo na kutuma taarifa kwenye bench la ufundiAaron
hivi ljumberg anakazi gani saivi mechi kama mbili naona yupo jukwaani au arteta kampiga chini?
Sent using Jamii Forums mobile app