Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Arteta hata kabla hajafundisha mech 1 , nilishamuelewa anarudisha mpira mzuriYaani baada ya game ya jana, Aaron karudi kwenye ubora wake wa kuielezea arsenal na arteta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah mpira sio kubahatisha kama EmerySasa hivi walau tunalo la kuzungumza
Wazee kuhusu Arteta uyu jamaa Kama kocha hapa tumepata tayari kilichobaki ni mzigo utolewe tuongezewe watu wa maana watu wa kazi
COYG
Basi ngoja twende kwa manyumbu..... Sababu hilo ndo trending this week
Gari limeshawaka wew subir ulibebwa emirate tunakuja Sasa kukuonesha kazi apo Stanford tukiwakosa goli tatu
Pepe
Manchester United walifungwa kwa sababu walipanga vitoto, na mechi ilichezwa usiku sana, vitoto vilikuwa na usingizi
Kwa mchezo waliocheza jana hao wajiandae kwa maumivu,forward na back zilisimama vizuri sana,kidogo katikati kunahitaji marekebisho,bigup Arteta,kwa mwendo huu utaturudisha tena kwenye screen...Arsenal’s next six fixtures:
Leeds United H
Crystal Palace A
Sheffield Utd H
Chelsea A
FA Cup 4th Round TBC
Burnley A
#afc
Na yale maneno...."unapita na khanga moko iliyolowa maji " hahahaaaaaaaaaaaa
Hawa mods kuna jamaa flani huwaga anawatag kwenye baadhi ya nyuzi wanatembeza ban na kufuta comments ila humu washatagiwa sana wabadili hapo ila wamegoma sijuiWahusika badilisheni hapo juu muweke Head Coach Arteta
Suala la mashuti ilikuwa ndo balaa yaani Arsenal anapigiwa mashuti 31 per Match?Mhindi alikuwa ni fala sanaAliyekwambia kisa kocha mpya nani?
Arsenal ilishapoteza filosoph yake , hata pass 10 ilishindwa ,
Mech za away tunakaa nyuma
Kila mech kupigiwa mashuti 15+ had 20+ ilikuwa kawaida
Arteta anairudisha timu kwenye njia, na mazoez anachofundisha ndicho tunakiona uwanjani,
Ww unasema kisa kocha mpya ?
Hadi kwenye kutoa picha ya mhindi walisumbua hivyohivyo.... Sa sijui wanatuonajeHawa mods kuna jamaa flani huwaga anawatag kwenye baadhi ya nyuzi wanatembeza ban na kufuta comments ila humu washatagiwa sana wabadili hapo ila wamegoma sijui
Arteta ni fundiSikutegemea Kama Mikel angeleta Radha hivi honestly arsenal hii natamani kuiona Tena kwenye mechi 7-8 zijazo then nitakua na amani
Sent using Jamii Forums mobile app