Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Usajili News: Arsenal wapo busy.

Upamecano atagharimu milioni 45

Rabbiot kwa mkopo

Saliba huenda akaitwa baada ya Calum Chambers kuumia goti.



Arsenal ikishindwa kumpata Upamecano basi itaangalia uwezekani wa kumsajili Mkoba wa Torino Armando Izzo.

Izzo

Ila priority ni Upamecano kwanza.
 
Auba asiondoke ndiye roho ya timu jamani


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyo Ancelloti kakaa Msimu Mmoja na Nusu Kawaachaje Napoli? Wana hali mbaya kwenye Ligi Wakati Sarri aliiacha Napoli ya Moto

Everton na Arsenal matatizo yao ni tofauti,.
 
Wewe ipo shida mahali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu upamecano naskia ni injury prone mzuri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…