Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kila la heri The Gunners.....Ushindi ni lazima leo..........Together we stand
 
Ile form ya Rooney sijui kwa kweli kama hata tikisa mambo leo. best wishes al-Arsenal
 
wakuuu nao0na mko katika maandalizi ya huu mpambano mkubwa leo.

possible line up ya leo ni : Arsenal: Szczesny, Sagna, Squillaci, Koscielny, Clichy, Rosicky, Song, Wilshere, Nasri, Arshavin, Chamakh.

fabianski kaumia mguu kwahio dogo atapewa nafasi kuanza mbele ya Almunia labda kama fabianski atapona.
 
Mods kama mtapita humu leo naomba mtoe post ya man united hio ya sir bobby charlton pelekeni jukwaa la manchester naona el toro kachanganya habari.
 
Ile form ya Rooney sijui kwa kweli kama hata tikisa mambo leo. best wishes al-Arsenal

Kwa game ya leo namuoopa sana Wayne.....Huwa anajitumumua sana tunapokutana na Man U,nina wasiwasi sana na game ya leo kutokana na ulegelege wa beki yetu ya kati......I wish Verma angekuwepo leo ...Mara nyingi hutufunga huyu,ni kama DSrogba vile anavyotuliza kila tunapokutana na The Blues
 
Huyu mpishi wake NANI,tukiweza kumzima NANI basi Rooney naye hakuna kitu.
 
wakuuu nao0na mko katika maandalizi ya huu mpambano mkubwa leo.

possible line up ya leo ni : Arsenal: Szczesny, Sagna, Squillaci, Koscielny, Clichy, Rosicky, Song, Wilshere, Nasri, Arshavin, Chamakh.

fabianski kaumia mguu kwahio dogo atapewa nafasi kuanza mbele ya Almunia labda kama fabianski atapona.

Hii ni 4-2-3-1 formation ambayo ni nzuri kwa ugenini. Hapo Chamakh ataachwa mbele akisaidiwa na Arshavin, Nasri na Wilshere huku Song akilinda back four.

United watakuja na mtindo wa kukaa nyuma wakisubiri kushambulia kwa kushtukiza maana wanajua Arsenal mtindo wake ni uleule wa free flowing attacking football.
 
Huyu Evra kwa vijikauli vyake.....Sijui itakuwaje akifungwa na "Training Center Team"...Yes, alisema wanaweza kufungwa lakini Arsenal wataenda wapi......
 
Hii ni 4-2-3-1 formation ambayo ni nzuri kwa ugenini. Hapo Chamakh ataachwa mbele akisaidiwa na Arshavin, Nasri na Wilshere huku Song akilinda back four.

United watakuja na mtindo wa kukaa nyuma wakisubiri kushambulia kwa kushtukiza maana wanajua Arsenal mtindo wake ni uleule wa free flowing attacking football.

Mara nying man utd wakicheza na arsenal wanacheza 4-5-1..since rooney bado hajahit form sidhani kama boss atamweka kama lone striker. I prefer partnership ya rooney na berbatov uku wakisaidiwa na nani.
 
Duuuh naona Big Sam kafukuzwa rovers noma sana.Jamaa huwa anasaidia sana kwenye timu ndogo ndgo hizi kuziweka sawa i hope atapa timu soon.Wampe Westham untd.
 
Back
Top Bottom