Lacazette, Nelson walikuwa mizigo first half
Ndio maana naona hivi vitoto vyote vingepelekwa mkopo championship huko,abaki Martinelli tuKabisa. Nelson anapoteza mipira ya wazi wazi, alafu Laca nae anatuangusha
Sent from my SM-G950F using Tapatalk
Wewe mnyakyusa wa wawapi usie na uvumilivu mkuu.
Hapa kocha tumepigwa jamani.[emoji41][emoji41][emoji41]
HahahahahahahahahLacazette ni takataka