Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

France Football claim that Mikel Arteta has told the Arsenal board that he wants to sign a #6 & 2 central defenders next month.
IMG-20191223-WA0052.jpeg
 
Arteta has instructed Arsenal to sign 2 centre backs and a CDM to sit next to Torreira

[France Football]
 
le10sport EXCLUSIVE:

Arsenal expect a major departure - with Lacazette or Aubameyang expected to leave either next month or in the summer. Lyon's Moussa Dembele has been made a priority by Arsenal's hierarchy, with the club willing to pay price demanded.

IMG_20191223_173325.jpeg
 
View attachment 1302378
Huyu Mousa Dembele vipi ana kiwango cha kulibgana walau na Auba au Lacca?..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikel Arteta has named his core coaching team.
Freddie Ljungberg remains as assistant coach and is joined by Albert Stuivenberg.
The Dutchman, who has been coaching since 1992, was alongside Louis van Gaal at Manchester United. He is currently assistant manager of the Wales team with Ryan Giggs and will continue in this role as well as his Arsenal duties until after the European Championship in the summer.
Steve Round is also joining the club as an assistant coach.
Steve has coached with Middlesbrough, Newcastle, Everton, Manchester United and England. He has also been Director of Football at Aston Villa.
Inaki Cana Pavon comes in as goalkeeping coach from Brentford to work with Sal Bibbo.
Inaki previously worked in Spain and Denmark after starting his playing career at Barcelona.
Mikel Arteta said: "I am delighted to have this talented group of coaches alongside me. They bring a great mix of experience and fresh thinking. Along with the talented people we have in the club already they will be key people to get us back to winning ways."

Sent from my SM-G950F using Tapatalk
 
OFFICIAL

Arsenal’s new first-team coaching staff:

Mikel Arteta — head coach
Freddie Ljungberg — asst. coach
Albert Stuivenberg — asst. coach
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Steve Round — asst. coach
Iñaki Caña Pavon — goalkeeping coach

Welcome to The Arsenal #AFC
IMG_20191224_211406.jpeg
 
BENCHI JIPYA LA UFUNDI LA MIKEL ARTETA

Round - huyu ana historia ndefu ya ukocha ikiwa ni pamoja na kuwa msaidiz wa Ferguson na Moyes. Pia amewahi kufundisha Newcastle na hiv karibuni tu alikuwa ni sporting director wa Aston Villa. Amebobea sana kwenye mambo ya technolojia ktk michezo.

Ljumberg - huyu haitaji introduction kubwa kwasababu anajulikana.

Stuvenberg - amewah kuwa kocha msaidiz Manchester united chin ya van gaal. Amewah kuifundisha Genk wakati Ndindi yuko kule. Pia hadi juz alikuwa kocha msaidiz wa timu ya taifa ya Wales chini ya Giggs

Cana - ni mtaalamu wa kufundisha makipa akianzia kule Barcelona. Arsenal imemchukua kutoka Brentford. Anasifika sana kwa uwezo mkubwa wa kunoa makipa
IMG-20191224-WA0010.jpeg
View attachment 1302731
IMG-20191224-WA0008.jpeg
IMG_20191223_173252.jpeg
 
The Athletic | For some weeks now, Arsenal have deemed central midfield to be an area in need of urgent attention, and Arteta is expected to concur with that assessment. While hopes remain high for Guendouzi and Willock, there are doubts over the future of the other three CM's.
Bora Gunduz sio willock, though willock sio mbaya ila bado ana utoto, huyu apigwe loan kwanza Paka akili imkae sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usajili news:

Wakuu habari za mkesha wa xmas na natumai kila alie mkristo atamkaribisha mtoto Yesu ambae ndo kwanza ana siku moja tangu amezaliwa huko Bethlehemu.

Ilikuwa ni baada ya wazazi wake Bi Mariam na bwana Joseph kutembea umbali mrefu kutoka Nazareti wakitafuta hifadhi ya kumpokea mtoto Yesu.

Sasa tukisherehekea sikukuu hii ya mwisho wa mwaka siku inayofuata wana Gunners tutakuwa tukiiangalia Arsenal ilozaliwa upya baada ya kumkaribisha kocha mkuu mpya bwana Mikael Arteta.

Arteta amekwishatoa mwongozo kwa wachezaji kwamba anataka wachezee vipi timu yetu hii ambayo ni moja ya timu kubwa 9 duniani, na hii ni kwa mujibu wa jarida la Forbes.

Pia Arsenal ni timu ya tano duniani kwa kuwa na washabiki wengi na Forbes imeiweka Arsenal kuwa klabu ya tatu kwa kuwa na thamani kubwa nchini Uingereza kwa kuwa na thamani ya kiasi cha dola za marekani bilioni 2.24

Arteta ameitaka bodi ya Arsenal isajili mabeki wawili na mchezaji mmoja wa kiungo.

Kwa kawaida inachukuliwa kuwa Januari ni msimu wa usajili ambao ni wa kimbinu au "tactical transfer" na ule wa wakakti wa kiangazi au Summer ni usajiki wa kimkakati yaani "strategic transfer".

Hivyo basi ikiwa kuna timu itamweka mezani dau lolote kwa Xhaka basi Winfried Ndidi wa Lecester atasajiliwa na Arsenal mwezi ujao.

Ndidi ni mlinzi wa kati ambae anaweza kuja kusaidia sehemu ya kiungo lakini Leicester wanaweza kuweka ugumu.

Upamecano atagharimu kiasi cha pauni milioni 70 na Arsenal hawawezi kufanya usajili huo ingawa kwa kuwa kumwita Willima Saliba kutashindikana kutokana na Saliba kuwa majeruhi, basi Dayot Upamecano anaweza kusajiliwa wakati wa kiangazi ambapo Sokratis na Davil Luiz wataondoka.

Hivyo basi, mechi ya Boxing day na Bournemouth tutegemee Arsenal ileile ilocheza na Everton au ilobadilishwa kidogo ambapo Lucas Torreira anaweza kuendelea kushirikiana na Granit Xhaka katikati, huku nyuma wakiwepo kipa Leno, Maitland Niles kulia na Bukayo Saka akicheza kama cover kwa Kolasinac na Tierney.

Mbele pembeni kutakuwa na Nicolas Pepe kulia , Mesut Ozil kati ndani , Aubameyang kushoito na Lacazette katikati.

Kheri ya Christmas.
 
Kheri ya krismass na kwako pia mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bournemouth tunamchapa goli za kumwaga .

Sent using Jamii Forums mobile app
Utajipa stress bure!.. Timu bado haijakaa vizuri, lolote laweza tokea!. Ninachotaka mimi nione falsafa, nione mpira wa ramani! Kama kuna kazi ngumu duniani basi ni kuwa kocha wa mpira wa miguu!.. Hebu ona Mou anqvyohangaika na spurs yake, sasa usiwe na mategemeo makubwa sana. Tumpe muda kocha wetu, tofauti na hapo watu wanaweza wakaanza kuponda ktk mechi yake ya kwanza tu!.. Mimi kusema kweli hata tukifungwa bado naamini arteta atatufaa saba mbeleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom