Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mazoez kwa ufupi
"Four things: Ball. Teammate. Opponent. Space. That's all that we're going to be working on!"
Watch @m8arteta lead today's session now on Arsenal Player 
Mazoez ya Leo , ni video ya dk 5
"Four things: Ball. Teammate. Opponent. Space. That's all that we're going to be working on!"
Watch @m8arteta lead today's session now on Arsenal Player

#KUHUSU USAJIRI HII NI KAULI YA ARTETA KWENYE PRE CONFERENCE
Hii ni jana baada training session na full squad

Mfano#KUHUSU USAJIRI HII NI KAULI YA ARTETA KWENYE PRE CONFERENCE
Hii ni jana baada training session na full squad
Mikel Arteta says he will sit down with [Raul, Edu] to discuss the upcoming transfer window. He has some 'ideas' that will be discussed. [@Sky sport news]
Kwa msingi huu hapa kocha hajatamka yeyote anaye muhitaji kwa jina bali ataspecify ni kitu gani anahitaji maboresho gani january hii akimaliza mazungumzo na edu na sanleh
Kwa misingi hii hizi tunasikia sijui volland sijui martens ni media tu ndio zinapublish nothing come from staff
Kwahiyo tutajua tunahitaji nini baada ya mazungumzo ya hawa watu watatu maana sanleh alisha dokeza tutakuwa active
Ndio maana kwa sasa tuwe wapole professional wanafanya kazi kwa utaratibu hawapublish tu but media zinaweza fanya hivyo ndio kazi yao hiyo kuuza habari
Japo hatuwezi kuzuia tetesi hizi ndio nyakati zake ila tujifunze sio kila tetesi ni sahihi tukaivalia njunga tukifunze kutafuta #reliable_sources
Mfano
#Sky_sports_news
#Bbc_sports
#David_ornstein
#Fabrizio_romano
#James_benge
Nk:
Hatutoki na hatuhamiView attachment 1302208
tena hao vimeo wasipo angalia watasepa mazima kama sio kupelekwa kwa mkopo, wanaitajika kufundishwa na kujituma zaidi walee vizuri hasa uyu Guendouz.The Athletic | For some weeks now, Arsenal have deemed central midfield to be an area in need of urgent attention, and Arteta is expected to concur with that assessment. While hopes remain high for Guendouzi and Willock, there are doubts over the future of the other three CM's.
Mazoez ya Jana amewapiga msasa , kuna baadhi watajichuja watasepa , maana sion wakiingia kwenye mfumo waketena hao vimeo wasipo angalia watasepa mazima kama sio kupelekwa kwa mkopo, wanaitajika kufundishwa na kujituma zaidi walee vizuri hasa uyu Guendouz.
alfu kuna yule dogo striker yupo kwa mkopo championship kule yule aletwe kwa arteta amnoee vizuri yule atakuwa m'badala wa lacazette!
Sent using Jamii Forums mobile app