Ozil bado mkataba wake mpaka 2021....Je, Unai na Ozil nani kabaki?
Ozil bado mkataba wake mpaka 2021....
Mkuu,
Na jamaa hapo alieleza wazi kuwa Yaya alipigwa bench mpaka kandarasi yake ilipoisha akasepa bure...
Na suala la Ozil lipo wazi kuwa yeye ndio hataki kuondoka so kocha anayekuja kama hatoweza kumtumia litamtokea lililomtokea Yaya...atakula bench then aende free.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni Sera ya klabu lazima aiseme , ila haimaanishi Ndio watakuwa regular starterKwa kauli yake kuhusu vijana kama nawaona tena kina willock,guendozi,nelson,amn na wenzao kwenye kikosi cha kwanza ila ngoja tuone maana eneo la beki na kiungo hakuna muunganiko mzuri.
Ukumbuke City wanao uwezo wa kusajili mchezaji akazingua, baada ya muda mfupi wakasajili tena namba ile ile.
Sasa Arsenal hata usajili wa kawaida ni mbinde sana, wanawezaje ku-afford kumweka mtu benchi akiwa mzima!
Hao hawakupaswa kucheza Arsenal ni wa kupeleka mkopo au kuuza kabisa, unakutana na Liverpool upange hizo takataka kina Nelson, Willock, saka na guendouz unakula nyingi, hata hiyo game kuiangalia ni kichefu chefuKwa kauli yake kuhusu vijana kama nawaona tena kina willock,guendozi,nelson,amn na wenzao kwenye kikosi cha kwanza ila ngoja tuone maana eneo la beki na kiungo hakuna muunganiko mzuri.
Kwa jinsi mashabiki wa arsenal wanavyojifariji na ujio wa arteta,ni kama hawajafahamu tatizo lao la msingi ni nini.
Pesa ya Kroenke haitoki kifala hivyo jamani.