Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Aaron hii post umeandika ki-layman, hapana shaka wewe sio mhasibu. Profit au loss hazikokotelewi kihivyo.UMUHIMU WA UCL NI MKUBWA SANA
Kila team huwa inatoa details za mapato yake kwa mwaka either wamepata profit au loss hii hujumuisha vyanzo vyote vya mapato ya club
Kwa mwaka 2018/2019 arsenal wametangaza overall income( revenue) kuwa ni £ 367.5m per annual( before_tax) lakini je hii ni profit au loss
Miezi 12 nyuma means mwaka 2017/2018 club ilitangaza mapato £ 388.6m per annual ikiwa ni faida ya £ 97m kulinganisha na mwaka uliokuwa umepita ( 2016/2017)
Tuje sasa je kutoka 388.6m -367.5m= £ 21.1m Ni kwa hesabu nimejaribu kupiga hii ni loss
Sababu kuu ni kushuka kwa players sales income kulingana na taarifa zao average revenue ya player sales ni £ 34m
Lakini pia kucheza europa mfululizo mapato hupungua sababu ,UCL kuna gawio kubwa kulinganisha na europa ambapo tupo
Je kwa mazingira haya tunaweza invest kiasi gani kwa usajili kama mapato ni £ 367.5 m kumbuka hapa ni pre tax ( kabla ya kodi)
Team ina project nyingi ikiwepo misharaha ya wachezaji na wafanyakazi wengine uboreshaji wa miundo mbinu kwa mazingira haya sioni fungu kubwa kama tunavyodhani kusajiri wachezaji zaidi ya kumi tena expensive
FFP ipo pia kuguide tutumie kulingana tulichoingiza ili kuepuka hasara kupelekea ban na arsenal hierarchy wanaheshimu sana hizi sheria .
Arteta anakuja lakini inasemekana ameahidiwa Signing kadhaa January ,na nyingi ni Summer .
Ok ni mapito tu tutatoka hapa nafikiri tumeona umuhimu pia wa UCL
We are the arsenal
Hatukoki_hatuhamiView attachment 1295972
Hatutoki, hatuhami!.. Hata iweje!.. We are the gunners forever!Aaron hii post umeandika ki-layman, hapana shaka wewe sio mhasibu. Profit au loss hazikokotelewi kihivyo.
hayo tuyaache, arteta is coming, ila timu inahitaji major overhaul. kama mchezaji hajitumii uuza au gawa bure, kubali hasara; asike kwenye timu kuwafundisha ujinga wengine
Daa aje basi asee, vipi bado hakuna breaking news huMIKEL ARTETA NDO JINA LINALOTAWALA SASA KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA INASEMEKANA USIKU HUU YUPO NA KIKAO CHA MWISHO NA JOSH KREONKE KUFIKIA MAKUBALIANO KUINOA ARSENAL
Kwa upande wangu Arteta sio chaguo baya na nadhani hawezi kukubali kutia sign kama hajafikia makubaliano ya kupewa fungu nono la usajili kuanzia january
Japo watu wengi wanaona Arsenal ya sasa hata apewe nani itaharibu hii ni kweli..!! Unai Emery destroyed our culture tunahitaji mtu ambae atapigwa kwa ajili ya kujenga timu na Arteta akija atapigika haswa but kutakua na plans behind hatokubali kuja kuaibika lazima ataahidiwa pesa na atapewa
Kroenke sio bahili ila tajiri huogopa kutoa pesa yake kutokana na watumiaji kutotendea haki pesa yake
Mimi ni mfuasi wa Arteta 100% wampe timu sasa hivi achakazwe mpaka achakae lakini ikifika kwenye usajili nina imani ataanza kuijenga timu
Arsenal ya sasa haihitaji mafanikio inahitaji kujengwa Arsenal imebomoka sana
Arteta atafanikiwa sana Arsenal kama akipewa Misimu miwili ya kujenga timu
At least atatuletea vitu hivi vinne
-mfumo wa kuheshimika
-Hardworking Players
-Kujitambua kwa wachezaji
-Mpira mtamu wa Ki Arsenal, Arsenal
Jamaa sio mpole kama watu wanavyomdhania, alisikika Leroy Sane akisema wachezaji wanamuogopa Arteta kuliko Guardiola na yeye ndo uti wa mgongo wa timu kwa sasa
Ni mtu ambae wachezaji wanafuata amri yake mara moja bila kufokafoka
Kwanini Arteta miaka mitatu aliyokaa pale City tayari kuna debe linapigwa aje kumrithi Guardiola..!? Huitaji degree kujua kwanini
There is something in Arteta , jamaa Hajawai kuwa legend wa Arsenal but he is a leader
Arteta hacheki hovyo jamaa yupo serious sana
Arteta tayari ameshajua how to deal with big players
Aguero, De bruyne, silva , sterling na wengineo wamepitia chini yake
Amecheza Barcelona na Arsenal na Amefundisha man city kama msaidizi nadhani ni sahihi maana asilimia kubwa ya maisha yake ameishi kwenye timu zinazohusiana na zenye culture moja na Arsenal
Apewe misimu miwili na kujenga timu then msimu wa tatu tumdai makombe, hakika subira ni muhimu
Hata kama hatotupa kombe but atatuacha pazuri
Guardiola amejifunza kwa Johan Cruyff na leo hii Arteta amejifunza kwa mwanafunzi wa Johan Cruyff, ujuzi unarithishwa
He is our main man kama atafanikiwa
Nina imani Arteta hatokubali ku sign kama hajaahidiwa fungu la pesa
Sijui kama atakuja but moyo wangu umejenga imani nae
He knows our culture nina imani timu itapambana law ajili yake nina imani tutakuwa na watu wanaopambana
KAMA ARTETA AKIPEWA TIMU BASI APEWE NA MUDA WA KUJENGA TIMU
DONDOO MUHIMU
“My philosophy will be clear, I want the football to be expressive, entertaining. I cannot have a concept of football where everything is based on the opposition.”
- Mikel Arteta in his philosophy
At the end of his career at Arsenal, Arsene Wenger allowed Arteta to lead training sessions on numerous occasions after impressing him with “his eye for small details”. Even Arsenal-players, staff members and the club board were convinced that Arteta had a big future as a coach.
According to reports, Arteta impressed Wenger, Arsenal-players, staff members and the club board to such an extent that he was immediately considered as one of the favourites to lead a post-Wenger Arsenal. Arsenal were keen to hold on to him once he announced his retirement.
Mikel Arteta’s reputation as a promising young coach, however, got the new City-manager at the time, Pep Guardiola, interested in bringing him to City as part of his coaching staff. Arteta knew that this was a fantastic opportunity to learn from one of the best managers.
Pep Guardiola on Arteta’s impact on Raheem Sterling:
“Mikel Arteta is working many, many hours and days after training specifically about the last action on the pitch – that control in the last moment to make the right movement in the final three or four metres.
#COYGView attachment 1294535
Arsene Wenger:
“Once they make the decision in an objective way, I will support him (Arteta). Overall, he has all the qualities, he knows the club, he was captain of the club, a leader who has passion for the game - so why not?” View attachment 1294628
Mzee Wenger ni mtu muungwana sana.Pochettino: “Mikel Arteta has the capacity to be one of the greatest coaches in football”
Wenger: "For Arteta, does he have all the qualities to do the job? Yes"
Pep: "I said after a few months together he would be a manager. He is already a manager - he behaves like a manager"View attachment 1294221
Hili bandiko nalihifadhi Kama kumbukumbu, sio kwa praise hizi, eti Arteta hacheki hovyo HahahhaMIKEL ARTETA NDO JINA LINALOTAWALA SASA KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA INASEMEKANA USIKU HUU YUPO NA KIKAO CHA MWISHO NA JOSH KREONKE KUFIKIA MAKUBALIANO KUINOA ARSENAL
Kwa upande wangu Arteta sio chaguo baya na nadhani hawezi kukubali kutia sign kama hajafikia makubaliano ya kupewa fungu nono la usajili kuanzia january
Japo watu wengi wanaona Arsenal ya sasa hata apewe nani itaharibu hii ni kweli..!! Unai Emery destroyed our culture tunahitaji mtu ambae atapigwa kwa ajili ya kujenga timu na Arteta akija atapigika haswa but kutakua na plans behind hatokubali kuja kuaibika lazima ataahidiwa pesa na atapewa
Kroenke sio bahili ila tajiri huogopa kutoa pesa yake kutokana na watumiaji kutotendea haki pesa yake
Mimi ni mfuasi wa Arteta 100% wampe timu sasa hivi achakazwe mpaka achakae lakini ikifika kwenye usajili nina imani ataanza kuijenga timu
Arsenal ya sasa haihitaji mafanikio inahitaji kujengwa Arsenal imebomoka sana
Arteta atafanikiwa sana Arsenal kama akipewa Misimu miwili ya kujenga timu
At least atatuletea vitu hivi vinne
-mfumo wa kuheshimika
-Hardworking Players
-Kujitambua kwa wachezaji
-Mpira mtamu wa Ki Arsenal, Arsenal
Jamaa sio mpole kama watu wanavyomdhania, alisikika Leroy Sane akisema wachezaji wanamuogopa Arteta kuliko Guardiola na yeye ndo uti wa mgongo wa timu kwa sasa
Ni mtu ambae wachezaji wanafuata amri yake mara moja bila kufokafoka
Kwanini Arteta miaka mitatu aliyokaa pale City tayari kuna debe linapigwa aje kumrithi Guardiola..!? Huitaji degree kujua kwanini
There is something in Arteta , jamaa Hajawai kuwa legend wa Arsenal but he is a leader
Arteta hacheki hovyo jamaa yupo serious sana
Arteta tayari ameshajua how to deal with big players
Aguero, De bruyne, silva , sterling na wengineo wamepitia chini yake
Amecheza Barcelona na Arsenal na Amefundisha man city kama msaidizi nadhani ni sahihi maana asilimia kubwa ya maisha yake ameishi kwenye timu zinazohusiana na zenye culture moja na Arsenal
Apewe misimu miwili na kujenga timu then msimu wa tatu tumdai makombe, hakika subira ni muhimu
Hata kama hatotupa kombe but atatuacha pazuri
Guardiola amejifunza kwa Johan Cruyff na leo hii Arteta amejifunza kwa mwanafunzi wa Johan Cruyff, ujuzi unarithishwa
He is our main man kama atafanikiwa
Nina imani Arteta hatokubali ku sign kama hajaahidiwa fungu la pesa
Sijui kama atakuja but moyo wangu umejenga imani nae
He knows our culture nina imani timu itapambana law ajili yake nina imani tutakuwa na watu wanaopambana
KAMA ARTETA AKIPEWA TIMU BASI APEWE NA MUDA WA KUJENGA TIMU
DONDOO MUHIMU
“My philosophy will be clear, I want the football to be expressive, entertaining. I cannot have a concept of football where everything is based on the opposition.”
- Mikel Arteta in his philosophy
At the end of his career at Arsenal, Arsene Wenger allowed Arteta to lead training sessions on numerous occasions after impressing him with “his eye for small details”. Even Arsenal-players, staff members and the club board were convinced that Arteta had a big future as a coach.
According to reports, Arteta impressed Wenger, Arsenal-players, staff members and the club board to such an extent that he was immediately considered as one of the favourites to lead a post-Wenger Arsenal. Arsenal were keen to hold on to him once he announced his retirement.
Mikel Arteta’s reputation as a promising young coach, however, got the new City-manager at the time, Pep Guardiola, interested in bringing him to City as part of his coaching staff. Arteta knew that this was a fantastic opportunity to learn from one of the best managers.
Pep Guardiola on Arteta’s impact on Raheem Sterling:
“Mikel Arteta is working many, many hours and days after training specifically about the last action on the pitch – that control in the last moment to make the right movement in the final three or four metres.
#COYGView attachment 1294535
Let's wait and seeNaona kama kwa Arteta tunabugi tu, coz yeye na Freddie hata hawana tofauti yoyote katika experience.
Hahaha siku izi hauji kabisa jukwaa kileUMUHIMU WA UCL NI MKUBWA SANA
Kila team huwa inatoa details za mapato yake kwa mwaka either wamepata profit au loss hii hujumuisha vyanzo vyote vya mapato ya club
Kwa mwaka 2018/2019 arsenal wametangaza overall income( revenue) kuwa ni £ 367.5m per annual( before_tax) lakini je hii ni profit au loss
Miezi 12 nyuma means mwaka 2017/2018 club ilitangaza mapato £ 388.6m per annual ikiwa ni faida ya £ 97m kulinganisha na mwaka uliokuwa umepita ( 2016/2017)
Tuje sasa je kutoka 388.6m -367.5m= £ 21.1m Ni kwa hesabu nimejaribu kupiga hii ni loss
Sababu kuu ni kushuka kwa players sales income kulingana na taarifa zao average revenue ya player sales ni £ 34m
Lakini pia kucheza europa mfululizo mapato hupungua sababu ,UCL kuna gawio kubwa kulinganisha na europa ambapo tupo
Je kwa mazingira haya tunaweza invest kiasi gani kwa usajili kama mapato ni £ 367.5 m kumbuka hapa ni pre tax ( kabla ya kodi)
Team ina project nyingi ikiwepo misharaha ya wachezaji na wafanyakazi wengine uboreshaji wa miundo mbinu kwa mazingira haya sioni fungu kubwa kama tunavyodhani kusajiri wachezaji zaidi ya kumi tena expensive
FFP ipo pia kuguide tutumie kulingana tulichoingiza ili kuepuka hasara kupelekea ban na arsenal hierarchy wanaheshimu sana hizi sheria .
Arteta anakuja lakini inasemekana ameahidiwa Signing kadhaa January ,na nyingi ni Summer .
Ok ni mapito tu tutatoka hapa nafikiri tumeona umuhimu pia wa UCL
We are the arsenal
Hatukoki_hatuhamiView attachment 1295972
Labda atacopy na nites za boss wake gurdiolaNaona kama kwa Arteta tunabugi tu, coz yeye na Freddie hata hawana tofauti yoyote katika experience.
Pamoja sana kiongoz , hiki kipindi walipitiaga wenzetu Liverpool miaka ile ya 2013 hivi nikipind kigumu sana katika maisha ya soka , Plastic fans hukimbia timuKila la kheri waungwana katika kipindi hiki kigumu mnachopitia