milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,167
Kocha naona hajazingatia maneno haya Leo tutalala kwa maumivu makubwa sana sana Leo tutapigwa nyingi sana hapa nataka kulia natamani tutupe viatu mechi iishe tusirud second halfOzil Leo hatakiwi kuanza game hii kabisa game ya Leo ni full kukaba na kufanya counter attack sasa Ozil huwa si mtu wa kukaba na inabidi beki 2 na beki 3 Leo wawe makini dakika zote 90 maana Guardiola huwa anatumia pembeni kuingia ndani
Mechi ya Leo naweza kusema ARSENAL kushinda ni asilimia 15 Sare asilimia 40 na kufungwa ni asilimia 45 Leo ni kumuachia Mungu tu labda awe upande wetu ila Arsenal huwa haina discipline ya kukaba kama timu nyingine hapa ndo tatizo kubwa sana mechi 2 za mwisho dhidi ya Brighton na Southampton wametupelekesha kweli je Leo ambapo kuna De bruyne Mahrez Sterling Silva na Jesus itakuwaje?
Saa 4 tutakutana humu tuone kama Mungu amefanikisha kuwa upande wetu ila leo sina presha sababu najua hii mechi kushinda ni ngumu labda ni kujipanga na next matches 2 ambazo pia ni away kwa Everton na Bournemouth ambazo pia ni very tough(Timu yangu hii mtaniua jamani )
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naona kashabadilika rangi KDBKuna yule zeruzeru wa man city, cha kuchunga sana asibadilike rangi akawa mwekundu usoni. Akiwa mwekundu tuu magoli yanaanza kuingia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeshamuona lakin kdb akibadilika rangiOk tutaona
Acha kumlinganisha Simon na upumbavu ujinga
Kumbe leo unacheza na Man City!!!!!!
Sikujua aise...
Enewei ngapi ukooo[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka sasa imeisha andikwa. Arsenal haijawahi kutangulizwa goli 3 nyumbani kwake hadi half time.
Dah sijui wanawezaje kua mashabiki wa hii timu, ningekua nimeshakufa kwa preshawashabiki wa arsenal nyie ni washindi.jipigeni kifua mara tatu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliona hili mapema sana. Yaani ni maPEPEPepe bwana, anajipiga chenga