
#HUU NI MTAZAMO WANGU LAKINI
Je ni selection ipi sahihi kwetu hasa #forward line hii kitu imezua mjadala kidogo kila mtu akizungumza lake pengine kwa mapenzi au uhalisia
Tuna auba lacazette pepe na martinell swala ni yupi anatakiwa kuanza kabla ya yote lazima tutambue mpira sio kitu fixed in case of
1.tactical
2.approach
Hizi #tactics zinachange kulingana na mahitaji ya team kimchezo tusisahau ndio hutoa taswira movements na individual actions za team ziweje
combination ya lacazette auba pepe hapa mara nyingi ni game ambazo ni tough hasa mabeki wa team pinzani kuwa very physical fitness na tunazohitaji lazimisha magoal
Game kama hii inamuhitaji lacazette upfront uwezo wake wa ku hold mipira katikati ya beki hutoa space ( nafasi) kwa wengine .
assits nyingi za lacazette anakuwa na purukushani kubwa na defence
Mbili hii combo hutoa nafasi kwa auba na pepe kuwa free kucheza from widening to narrowing na kuwanyima marking wapinzani
Martinell auba pepe
Hii combination tunaihitaji hasa tukiwa na approach ya kufanya #pressing kubwa from #widening tukiwa tunahitaji wachezaji wenye kasi wenye uwezo mkubwa wa kufanya take ons ambazo ni timilifu
Maana martinell ana kasi energy na dribbling skills hii inawasumbua sana full backs kujikuta wana wanaacha space na auba kutumia hiyo, mech na westaham Martinel alifanya Sprint 20 pekee ,huku wachezaji wengine wakimfatia kwa kufanya sprint 10
Pepe hakuna asiye mjua hii combo ina mfanya kuwa free kiasi chake maana ni mchezaji mwenye kasi pia na take ons ability kubwa
Hvyo basi uwepo wa martinell auba pepe ni game ambazo tunahitaji pace( kasi ) na high pressing from widening to narrowing
Nikipata time ntaendelea
Japo uelewa wangu mdogo tu