Tuna CB Holding, Sokratis, Luiz, Chambers na dogo nimemsahau. CM tuna Ceballos, Niles, Ozil (Anaweza cheza kama CM au AM) Willock, Xhaka na Torreira (natural DMF ila kwenye 4 3 3 wanakua CMF), Guendouz, Smith Rowe, Willock n.k. nahisi AMF
Hivi nikweli huyu Carlo Ancelotti anaweza kutusaidia sana Arsenal.? Au akawapiku hawa mameneja wote wanaohusishwa kutakiwa Kuifundisha Timu ya Arsenal. Wajuzi nisaidieni kumfahamu huyu mzee make kupitia wikipedia nimemuona akiwa na mafanikio kiasi katika timu alizofundisha ambazo kimsingi hata hao Napoli walizitumia kumchukuwa awe Kocha wao. Sasa je, inakuwaje wanamtimua mapema tena katika msimu mmoja?
Talks between Ancelotti and Arsenal are ongoing. An agreement could be reached early this afternoon. Arsenal are offering a contract until 2021. [@TuttoMercatoWeb]
I am a mere arsenal fan, kila mtu na mapenzi yake, nadhani wangempa muda Ljunberg, ni mtu ambaye inaelekea wachezaji wanampenda kama ilivyo kwa liverpool.