daaaah alaa xjui kama ii timu itakuwa strong tena nishaikatia tamaa bora tuende championship.
mmmhhhhhhhh najtahid san kuwa mbali na hii timu baada ya muda mahaba yanarudi tena kwa kasi ya 4g.
daaaah alaa xjui kama ii timu itakuwa strong tena nishaikatia tamaa bora tuende championship.
mmmhhhhhhhh najtahid san kuwa mbali na hii timu baada ya muda mahaba yanarudi tena kwa kasi ya 4g.
Luiz hana kasi, ni mzuri timu inapokua inashambulia ila kama unashambuliwa hana uwezo wa kukaba.
Kuhusu Mustafi huyu sitaki kumuongelea kabisa maana ni uozo hakutakiwa kuwepo Arsenal msimu huu ndio maana unai na ujinga wake wote hajawai kumpanga mechi yoyote ya EPL.