Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wazungu ni waungwana sana
 
Luiz ,belle wana minor injury nadhan hawataanza ,

Hapo kwa gunduz acheze LT11 ,

Beki za kati waanze holding na chamber , RB aanze belle kama atakuwa fit

If not, bas CBs waanze holding na Sokratis au holding na mustafi , ili RB acheze chamber

DM arudishwe LT11 ,pair yake na xhaka ndio huwa ni solid

Pair ya xhaka na Mateo au LT11 na Mateo hajawahi kuwa strong
 
Ndo huyu dogo nasikia anatupia tupia?
Huyu ndio kafanya hata Tumtoe mkopo Eddie Nketiah

Yupo mmoja anaitwa bolugun huyu ndio anatupia sana U23 ,


Ila all in all waingereza usiwape dhamana

Ni Kinda mmoja tu pale Arsenal nampenda na yupo serious , Gabriel martinel Huyu ni mrithi sahihi kabisa wa Aubamiyang
 
Umeongea sahihi kabisa, Mimi binafsi sidhani kama Mateo anastahili kuanza kikosi chetu. Bado sana.
 
Masaa 24 yamepita tangu kuondoka kwa Unai Emery.

Waliotoa neno la shukran au neno lolote: Martinez, Hector, Chambers, Holding, Sokratis, Luiz, Tierney, Matteo, Ceballos, Saka, Joe Willock, Auba, Laca



Walio kaa kimya: Leno, Mustafi, Mavropanos, Kolasinac, AMN, Xhaka, Torreira, Özil, Nelson, ESR, Pepe, Martinelli.

#coyg
 
Maneno ya Josh kreonke

Cha kwanza kabisa Freddie ni DNA ya Arsenal amecheza hapa na washabiki wanamjua vizuri hivyo ni jambo jema kuwa na mtu aneiifaham vema DNA ya Arsenal hivyo tunafikiri ni mtu sahihi anaeweza kutupeleka mbele.
Ujumbe wangu kwa Freddie na wachezaji ni tuhakikishe tunarudi kwenye ubora wetu na cha msingi sana tuhakikishe tunarudisha furaha katika nyuso zetu. Na mimi nafikiri mchezaji anaweza kuwa bora pale anapokuwa na furaha katika uso wake anaenda uwanjani akiwa na furaha, kupambana na kupata matokeo mazuri na hiyo ndio njia ya ushindi namba 1 nayoiamini mimi:-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…