Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,417
Poleni wakuu kwa kipigo kitakatifu[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Mwambie huyo hata lacazette hakushangiliaWakupewa pole ni ManU sisi kipigo ilikuwa dua yetu toka mapema. Na kwataarifa yako goli la Lacazette la kusawazisha hakuna mwana Arsenal aliyelipenda
HONGERENI WAKUU.*Wakusali na asali kushukuru*
*wakunywa na anywe kushukuru*
*unai is out*[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
@Mbushuu ulipotelea wapiWoyoooooooooooooooooooooooooooooooooo
Brother kwa zile stress za unai ilibidi niwe nachungulia tu@Mbushuu ulipotelea wapi
Jumaa Mubarak*Wakusali na asali kushukuru*
*wakunywa na anywe kushukuru*
*unai is out*[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]