Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Page zote hizi nikajua nitakutana na breaking news ya unai kufungishwa vilago??
 
 
Arsenal set their sights on Wolves boss Nuno Espirito Santo with Unai Emery's future under increasing scrutiny. [@SamiMokbel81_DM]
 
Arsenal set their sights on Wolves boss Nuno Espirito Santo whose agent Jorge Mendes has a long-standing relationship with Raul Sanllehi. Nuno’s work at Wolves has impressed the hierarchy [@SamiMokbel81_DM]
 
Meneja wa Wolves Nuno Espirito Santo ndiye meneja aliye mstari wa mbele kuchukua nafasi ya Unai Emery kama meneja wa Arsenal (Mail)

Wahudumu wa Arsenal wanaamini kuwa kocha Unai Emery atafutwa kazi , lakini bado anatarajiwa kuongoza timu katika mechi ya Ligi ya Uropa dhidi ya Eintracht Frankfurt. (Goal)

Ikiwa watashindwa kuichapa Frankfurt, na Norwich City siku ya Jumapili , Emery atapoteza kazi (Express)
 
EXCLUSIVE : Arsenal set their sights on Wolverhampton boss Nuno Espirito Santo with Unai Emery's future under increasing scrutiny.
Nuno has impressed the Arsenal hierarchy with the job he has done at wolves. [DAILY MAIL ]

Your thoughts?
 
Sasa hizi habari nazo zinachanganya. Joto la media jana lilinifanya nikaiona Arsenal Mpya
 
Arsenal set their sights on Wolves boss Nuno Espirito Santo whose agent Jorge Mendes has a long-standing relationship with Raul Sanllehi. Nuno’s work at Wolves has impressed the hierarchy [@SamiMokbel81_DM]
alafu uyu raul atatuletea matatizo makubwa sana mbeleni, anatumia vigezo gani kumleta Nuno, Ni bora unai au freddie apewe timu, mambo gani ayo anataka kuleta huyu.
 
BREAKING: LS | Wolves boss Nuno Santo has emerged as the leading candidate to be Arsenal's next manager. Ljungberg could become a manager until the end of the season. Arteta is 2nd choice to replace Emery while others are only targets. (Max Allegri, Nagelsmann
& Pochettino). #AFC
 
“Last year, on my first day (in the job), I spoke to them very bad, more bad than today,” Emery said.

“Now my English is, from one to 10, maybe a six.

“But at six, I think the players can understand me. If not, some help is good.”
 
Arsenal youngster Bukayo Saka said that he sometimes struggles to understand the Arsenal boss, relying on first team coach Freddie Ljungberg to clarify the message.

“Sometimes when I don’t understand, when the coach is trying to communicate with me, I have a better communication with Freddie sometimes, he speaks better English," he said.
 
alafu uyu raul atatuletea matatizo makubwa sana mbeleni, anatumia vigezo gani kumleta Nuno, Ni bora unai au freddie apewe timu, mambo gani ayo anataka kuleta huyu.
Sasa mnamtaka nani, Mou mlidai hivo hivo, cha ajabu mou hata sion akicheza defence bila sababu ya msingi, Mou anacheza attacking football na defensive kwa sababu maalumu, hata Alegri pia , ni sawa na wanaosema Nuno anakamia timu kubwa tu, watu wanasahau timu kama Arsenal haitakiwi kusumbuka na timu ndogo sababu ya resources zilizopo ,

Wolves lazima asumbuke kwa wadogo wenzake

, kwa arsenal inasumbuka na timu ndogo kwasasa sababu ya Poor tactic za emery ,had timu ndogo iwe away au home anaziogopa ,

Arsenal inahitaji MTU anayeweza kuweka mpira chin na Ku impliment tactic na philosophy yoyote ile , Emery kashindwa kila kitu ,

ndio maana mm naamini Emery ni moja ya makocha wa ovyo kutokea DUNIANI na hata kuja kutokea tena kocha wa ovyo kama unai
 
Wengi tunataka aondoke, actually kwa sasa Poch anafaa kuwa caretake hadi summer.

Swali mmejiuliza compensations atakazopewa na staff yake nzima. Running a club sio kama kuendesha genge la nyanya jamani. Tukumbuke arsenal sio timu ya kutoa toa pesa ovyo, Stan sio kama Roman kwamba akikasirika anatoa €20 mill kutafuta mtu wa kum-replace kocha na jopo lake.

Tunapoomba atimuliwe, tuombe kwanza Stan atoe pesa za kumlipa na watu wake na alete nyingine ya kumpa caretake. Not easy, especially with the Gooners!!
 
Paris Saint-Germain midfielder Julian Draxler has revealed that communication was sometimes an issue when he worked under now Arsenal boss Unai Emery.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…