Huyu kocha ni mbinafsi sana Kifikra, sio hilo hata kwenye usajili nasikia alikumbatia sana fikra zake kushirikiana na Sanllehi kuliko kumsikiliza mtalaamu Sven Mislintat aliyeletwa kwa kazi hiyo. Jamaa akaona wanataka kumpoteza katika maamuzi then akawaachia timu akatimka zake. Nimekuja kumuelewa huyu jamaa (Sven Mislintat) sasa hivi kuwa kufanya kazi na hawa watu labda uwe mpumbafu na ukalie akili zako.HUYU MUHINDI ALIANZA KUFELI HAPA,HATAKI WATU WAKAFANYE SCOUTING YA TIMU PINZANI, ANATAKA AFANYE YEYE AKIWA GETO KAJIFUNGIA
Unai Emery cuts out live scouting of Arsenal's opposition teams in favour of watching videos himself [@MattHughesDM
Emery told the club during a review last summer that he prefers to watch games himself rather than read analysis compiled by others. The Spaniard spends hours watching recordings of Arsenal’s forthcoming opponents on his laptop [@MattHughesDM]
Some at the club are convinced Emery’s time would be better spent addressing the weaknesses in his own side. Other senior figures have argued that by relying on videos rather than eyewitness accounts, aspects of opponents’ strengths & weaknesses are being missed [@MattHughesDM]View attachment 1272897View attachment 1272898
Upo sahihi kabisaHuyu kocha ni mbinafsi sana Kifikra, sio hilo hata kwenye usajili nasikia alikumbatia sana fikra zake kushirikiana na Sanllehi kuliko kumsikiliza mtalaamu Sven Mislintat aliyeletwa kwa kazi hiyo. Jamaa akaona wanataka kumpoteza katika maamuzi then akawaachia timu akatimka zake. Nimekuja kumuelewa huyu jamaa (Sven Mislintat) sasa hivi kuwa kufanya kazi na hawa watu labda uwe mpumbafu na ukalie akili zako.
Bodi ya Arsenal kuna baadhi ndio wana wamepewa nguvu ndio hao wanamkumbatia emery wakiamini atabadilikaAisee mmiliki wenu wa timu atakuwa hapendi mpira, anaangalia faida tuu ya biashara, sidhani kama hata akiwa home anangalia match za Asernal kwenye tv.
Ingekuwa Abromovich aisee Unai tulishamsahau kama alishaifundisha Arsenal.
Mmiliki wa timu kuna watu aliwaachia mamlaka toka alipondoka Wenger , hao watu ndio wanamkingia kifua emeryEmery ni mbinafsi sana ndio maana sasa hivi anafeli , ndani ya bodi wengi hawamtaki anayemtetea ni Raul sanheil .
Mmiliki wa timu anaangalia tuu uozo unaoendelea kwanini asitoe maagizo hatua zichukuliwe haraka?
Hapa hawezi kutoboa, otherwise tutajikuta huko mkiani mwa msimamo wa ligiKwa hizi game, Unai asipotimuliwa naacha kushabikia mpira msimu huuView attachment 1273267
Mkuu naona unachungulia kwa mbali [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mnao sikiliza redio bado Unai hajafukuzwa, aondoke kabla timu haijawa sehemu mbaya kuirudisha juu jasho litatutoka kama gape ya points itakuwa kubwa
Watamfukuza , nakuhakikishia hafiki x mass ,utaniambiaMbona wewe ndio utaacha kushabikia mpira umuache Emery, kama ulivyosema boss wa timu yuko nyuma yake hataki hasara ya kulipa fidia ya kumfukuza coach
Mkuu nimekusaka sana kumbe umebadilisha avatar? [emoji125][emoji125][emoji861][emoji861]HUU NDIO MSINGI WA TUCHEZACHO TATIZO NI APPROACH NA SIO WACHEZAJI
Emery:" I think we did well in terms of defending, the idea was to avoid conceding more than two goals which we managed very well, going forward we needed at least three ,but we not far from the target, today is gone & the focus is for the next match"#AFC
Haya pengine tukaoneshwa vizuri ubovu wa wachezaji kama kocha anazungumza namna hii
Kwamba team iliingia na idea ya kucheza kutoruhusu goal zaidi ya mbili na wamefanikiwa ni upi msingi wa hii idea
Team imeingia mchezoni na defending #lmentality na ndio sababu kuchezesha beki 5 kama first approach kwa misingi hii
Kwanini southampton asipige &shots 21 langoni kwetu kwanini leno asionekane zaidi kuliko auba kwanini sokratis asifanye branda
Football inahitaji vision na msingi wa team kucheza mchezo mzuri ni build up yao au set up yao ilivyo
Tupo home tunaingia na mentality "not concede more than two goals"
kwa kauli hii inashibitisha wanachocheza wachezaji ndio walichofundishwa na kocha
Ok game kumi na moja za mwisho epl ushindi michezo 2 tu halafu utasikia auba mbovu utasikia wachezaji wabovu.,
leicester wameongeza wachezaji wangapi tangu brendan aje leicester ile iliyokuwa inakimbizana na #relegation zone utakosa jibu je wale wachezaji wamekuwa world class kwa sasa?
Huwezi tenganisha team approach tactics na kocha huu utakuwa sio mpira wa sayari hii.
SIJAWAHI KUONA KOCHA WA OVYO KAMA EMERY ,NA SIDHANI KAMA NITASHUHUDIA KOCHA WA OVYO KAMA EMERY
Yah mkuu nimebadilishaMkuu nimekusaka sana kumbe umebadilisha avatar? [emoji125][emoji125][emoji861][emoji861]
HahahahahahahahahKwa hizi game, Unai asipotimuliwa naacha kushabikia mpira msimu huuView attachment 1273267