Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Naona nyumbani kwenu ni mwendo wa tonge nyama.The pressure has increased on the Gunners' head coach following a 2-2 draw with Southampton on Saturday
It was about half an hour after the final whistle on Saturday when Raul Sanellhi and Edu made their way out of the Arsenal changing room and headed back towards the directors' area at Emirates Stadium.
It is not unusual to see both men after the game - but this time it felt a bit different. The look on their faces, the pace at which they were walking. There was a sense of purpose about the pair that suggested some tough conversations had just taken place.
↓↓
End of the road for Emery! Why Sanllehi and Edu must lead Arsenal down a new path | Goal.com Tanzania
The pressure has increased on Arsenal head coach Unai Emery following a 2-2 draw with Southampton on Saturdaywww.goal.com
Mkuu unajua historia ya Arsenane. Wenger alikaa hapo miaka 15 bila kikombe na hakukuwa na mtu wa kumgusa. Actually kufukuza kocha ni gharama kubwa kumlipa kwa kuvunja mkataba na kuajiri kocha mwingine "wa maana" ni gharama kubwa ambayo timu ndogo kama Arsenane hawataweza, anayeiweza hayo ni United na Chelsea. Unai ana miaka mingine kama mitano hapo.Mkuu! Hayo mambo yanatokea kwa sababu maalum.
What about the players wanafanya hivyo kusudi ili kocha aondoshwe??
MUNGU BABA endelea kumbalik kiumbe wako unai emeryKizungumkuti ndani ya board
Ya Arsenal sir chips Keswick anataka kujiulzu moja ya viumbe wanaotaka Unai aondolewe
Inaonekna hana sauti ndani ya Arsenal board
O leaey anatajwa sana kumrithi
BREAKING: Sir Chips Keswick felt compelled to consider handing in his resignation as chairman of the club. He feels fans are blaming the board when all the say in major football decisions only lies with the football operations team. [@TheAthleticUK]
Athletic | With big calls now bounced only in the court of technical director Edu, head of football Raul Sanllehi, managing director Vinai Venkatesham, chief negotiator Huss Fahmy and son of the owner Josh Kroenke, Sir Chips is facing the question of whether enough is enough.
Athletic | Having recently proposed David O’Leary’s candidacy for the board only to be knocked back he (Sir Chips Keswick) has been uncomfortable watching Arsenal’s struggles without being able to play a meaningful role.
Unai namkubali sana ,Arsenali imesawazisha dk 96 ,what a performance kwenye mechi kubwa dhidi ya Saint ,kwakweli pongezi zimuendee Unai aendelee kusongesha gurudumu na avumiliwe sana.
Toti,soton,Leicester,Watford wanafukuza kocha sembuse asenali...ila sometimes watu wanaangalia watu wa kujibu.....yawezekana watu wamekuona wamekupuuzia ndo maana hujajibiwa hujiulizi..Mkuu unajua historia ya Arsenane. Wenger alikaa hapo miaka 15 bila kikombe na hakukuwa na mtu wa kumgusa. Actually kufukuza kocha ni gharama kubwa kumlipa kwa kuvunja mkataba na kuajiri kocha mwingine "wa maana" ni gharama kubwa ambayo timu ndogo kama Arsenane hawataweza, anayeiweza hayo ni United na Chelsea. Unai ana miaka mingine kama mitano hapo.
ACHA UDAKU NA UONGO ,HUMU WOTE SIO WATOTOMkuu unajua historia ya Arsenane. Wenger alikaa hapo miaka 15 bila kikombe na hakukuwa na mtu wa kumgusa. Actually kufukuza kocha ni gharama kubwa kumlipa kwa kuvunja mkataba na kuajiri kocha mwingine "wa maana" ni gharama kubwa ambayo timu ndogo kama Arsenane hawataweza, anayeiweza hayo ni United na Chelsea. Unai ana miaka mingine kama mitano hapo.
Mnapata tabu na Arsenal wakati timu yenu Man kushinda mechi 3 mfululizo za EPL ni shida,nakukumbusha Sheffield anaongoza huko.Yaani unatupa ushauri kwa tatizo ambalo wewe kwako umeshindwa kulitatua.Mkuu unajua historia ya Arsenane. Wenger alikaa hapo miaka 15 bila kikombe na hakukuwa na mtu wa kumgusa. Actually kufukuza kocha ni gharama kubwa kumlipa kwa kuvunja mkataba na kuajiri kocha mwingine "wa maana" ni gharama kubwa ambayo timu ndogo kama Arsenane hawataweza, anayeiweza hayo ni United na Chelsea. Unai ana miaka mingine kama mitano hapo.
Yaan wanachekesha sana hawa ,Mnapata tabu na Arsenal wakati timu yenu Man kushinda mechi 3 mfululizo za EPL ni shida,nakukumbusha Shelfied anaongoza huko.Yaani unatupa ushauri kwa tatizo ambalo wewe kwako umeshindwa kulitatua.
Eti leo unajifanya kuijua Arsenal kuliki sisi wenye Arsenal yetu.
Naona wanamchelewesha tu hawa..
Naona wanamchelewesha tu hawa..
Anahangaika na Arsenal ,wakati hajui chochoteMnapata tabu na Arsenal wakati timu yenu Man kushinda mechi 3 mfululizo za EPL ni shida,nakukumbusha Sheffield anaongoza huko.Yaani unatupa ushauri kwa tatizo ambalo wewe kwako umeshindwa kulitatua.
Eti leo unajifanya kuijua Arsenal kuliki sisi wenye Arsenal yetu.
Mkuu unajua historia ya Arsenane. Wenger alikaa hapo miaka 15 bila kikombe na hakukuwa na mtu wa kumgusa. Actually kufukuza kocha ni gharama kubwa kumlipa kwa kuvunja mkataba na kuajiri kocha mwingine "wa maana" ni gharama kubwa ambayo timu ndogo kama Arsenane hawataweza, anayeiweza hayo ni United na Chelsea. Unai ana miaka mingine kama mitano hapo.
Aje huyo huyo kuliko Huyu kanjbaiACHA UDAKU NA UONGO ,HUMU WOTE SIO WATOTO
Mikel Arteta now favourite to become Arsenal manager. Chief exec Ivan Gazidis wants new manager to:
1. Keep playing progressive football.
2. Embody & reflect the values of the club.
3. Take keen interest in developing young players.
Arteta ticks all those boxes.