Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mnacheza vizuri Europa na Carabao !!!! Unachekesha... Hii Carabao huwa Van Djke, Mane, Wiljneidam, Arnold, Salah, Firminho, Robertson et al.... huwa hawachezagi, kwa hiyo usijione umecheza vizuri. UMECHEZA NA LIVERPOOL B.
Hii show umeikuta kati haujui kwanini nilisema huko tunacheza vizuri.
 
Mustafi games anazocheza akiwa na Holding, Bellerin na Tierney anakua mzuri na clean sheet tutapata.

Amejifunga game ya jana ila hakuna beki ambaye angepona kwenye ordeal kama ile. Baada ya pale amecheza vizuri aerial clearance kazifanya vizuri tu.

Kama tunataka wa kulaumu hebu angalia goli la tano Origi alikua na nani? Guendouz.
 
Huyo Guendouzi jana hakuna alichofanya.
Alikua ovyo kabisa.
 
Humu tulikuwa tunawasifia viongozi wetu kama kina Edu mara jamaa wapo serious mara sijui nini kumbe nao ni wapumbavu tu kocha unaona hana direction still hawachukui maamuzi
 
yan nyie ni makelele tu week nzima kwenye jukwaa hili kisa kumfunga chelsea utafauti wa goli 1, harafu carabao....shenzi subiria vibonde vyenzako liver na leicester.....
Liver sisi ni vibonde how


Hebu njoo na hoja mzee
 
Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery out Emery
 
Unai's thinking capacity is too low,he fails to study the game,he doesn't know when,where and who to substitute.
 
Liver wana huruma mimi hii mechi sikutaka ifike penalty,wangemaliza dk 90 ,kwani mpaka sasa UNAI ana cha kujitetea.

Ozil jana kamuumbua naona akaona amtoe benchi na mwenzake Toreira.Hapo ndipo unapokuja kugundua kocha wetu anapenda kufungwa,cha msingi atuachie timu yetu akatomasane na mke wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…