Arsenal (The Gunners) | Special Thread

'06 : Liverpool 1-0 Arsenal
'19 : Liverpool 1-1 Arsenal
'26 : Liverpool 1-2 Arsenal
'36 : Liverpool 1-3 Arsenal
'43 : Liverpool 2-3 Arsenal
'54 : Liverpool 2-4 Arsenal
'58 : Liverpool 3-4 Arsenal
'65 : Liverpool 4-4 Arsenal
'71 : Liverpool 4-5 Arsenal
 
Willock na Saka walichoka sana ajabu unawaacha unakuja kutoa watu ambao wangeleta impact kwenye mechi.
Pathetic coaching from Unai Emery.
 
Huyu kocha hawezi kutufikisha popote, huu ndio ukweli.
Msimu uliopita nilimtetea sana huyu bwege ila nikaja kujua uwezo wake ni mdogo sana kufundisha timu kubwa.
Aende kufundisha Villarreal ndio saizi zake.
 
UNAI
🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣
🤣🤣🤣OUT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…