HUU NI MTAZAMO WANGU SILAZIMISHI MTU KUAMINI KAMA MIMI NAVYOAMINI
Mourinho akija Arsenal sasa hivi we will get good results. I am not sure of performances.
Lakini Emirates itakua ngome, na tabia ya kuwa soft itapotea walau kwa misimu miwili
I have always think Jose alikua anamuonea wivu Wenger. A comfortable job, with no huge pressure.
A job ambayo hupelekwi hupelekwi kama ng'ombe.
At Chelsea he had huge pressure, same at Man utd, same at Real Madrid.
Kazi ambayo Mourinho ali enjoy ni inter milan.
He thinks akija Arsenal atapewa hayo mazingira. *To build something over time*
Akija
-Kuingia Uefa inawezekana
-Kugombania Uefa inawezekana
-Kugombania ubingwa wa Uingereza inawezekana
-Kumfunga Guardiola na Klopp hata kwa technique mbovu zinazokera inawezekana.
With these assumption siwezi kukataa Mourinho kuja. Nitaweka hisia pembeni na kutumia akili zaidi.
Nitaweka moyo kule pembeni kabisa na kutumia akili na kichwa changu.
Nipate mafanikio hata kama ni ya miaka 3.