Ulikujaga kushupaza shingo kule kabla hatujacheza na liverpool watupige goli 6 nikakuuliza umefurahia arsenal kuwa wa 5 jumatatu ukapigwa ka dude ukaingia mitini saiv unauliza gape wakat mwenzio nnamabadiliko ila wewe uko palepale umestak cumputer imegoma kusoma endelea kuuliza gap unataona tu siku za baadaeMind the gape....in mou voice
The gape, Hahahaa
United won Premier League, 20 times
What about Arsenane?
Remember, sijataja Champions League
That's the gape, like SKY and EARTH
Ulikujaga kushupaza shingo kule kabla hatujacheza na liverpool watupige goli 6 nikakuuliza umefurahia arsenal kuwa wa 5 jumatatu ukapigwa ka dude ukaingia mitini saiv unauliza gape wakat mwenzio nnamabadiliko ila wewe uko palepale umestak cumputer imegoma kusoma endelea kuuliza gap unataona tu siku za baadae
Umenizidi point 3 kati ya wolves au leicester city mmoja lazima umpe point 3Weka msimamo tuone hayo mabadiliko mkuu????
kwa hiyo ww mechi zote mbili unashinda?Umenizidi point 3 kati ya wolves au leicester city mmoja lazima umpe point 3
Umenizidi point 3 kati ya wolves au leicester city mmoja lazima umpe point 3
Mkuu tutumie vizuri option ya Ignore list. Ukiona mtu hana cha maana anachochangia unamuadd tu.Achana na wangese mkuu watakupotezea muda
Umenizidi point 3 kati ya wolves au leicester city mmoja lazima umpe point 3
Sasa wewe hizo mech na ww utashinda zote au?Umenizidi point 3 kati ya wolves au leicester city mmoja lazima umpe point 3
Nawashangaa sana , wana matatizo makubwa kuliko yetu, ila wanakuja kujipa moyo humukwa hiyo ww mechi zote mbili unashinda?
Watu wa Man mshasahau matatizo yenu,kisa tu jirani yenu naye ana tatizo,endeleni kujipa moyo,lkn timu ya kushinda mechi tatu mfululizo hamna,hilo mnalijua,ila mnajipa moyo kwa matatizo ya Arsenal mnajiona hampo peke yenu.
Mchana kweupeSasa wewe hizo mech na ww utashinda zote au?
Kwa mwendo huu tulia uone niliyumba majeruhi lundo wewe unayumba ukiwa fullUshakuwa mpiga ramli mkuu
Sasa wewe hayo yajayo umeyajuaje??????
Vipi wewe hutopoteza mechi eti eeeehhhh....
Hili ni soka mkuu jipange kisaikolojia
Mech mbili tayar bado moja wiki ijayo 3 zako nakata sio arsenalkwa hiyo ww mechi zote mbili unashinda?
Watu wa Man mshasahau matatizo yenu,kisa tu jirani yenu naye ana tatizo,endeleni kujipa moyo,lkn timu ya kushinda mechi tatu mfululizo hamna,hilo mnalijua,ila mnajipa moyo kwa matatizo ya Arsenal mnajiona hampo peke yenu.