Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Timu yetu ina wachezaji wazuri lakini haina muunganiko wa kitimu,na kocha ndiye mwenye jukumu la kuunganisha timu lakini kafeli......

EMERY OUT.
 
We jamaa umewamaliza
Mna kila kitu? Mnachekesha sana..sasa kama mna kila kitu City na Liverpool watasema nini. Mnakusanya watoto wa mtaani huko halafu mnasema mna kila kitu, pambaf.
 
Kabla ya mechi tulikuwa nafasi ya 16 sasa tunawapumulia hapo nyuma.
 
Next Wolves then away to Leicester naapa kama huyu choko atakuwa bado ni kocha katika hizi mechi zinazofuatia tutakuwa bottom of the table na Manchester United atatuacha mbali sana huyu choko amefeli na inaonekana ila nashangaa mpaka sasa bado anafundisha kwa nini lakini?tunaongoza 2 home na zinarudi kirahisi hivi kwa nini?wakati wa Wenger ARSENAL alikuwa nyumbani anafunga kuanzia 3 hadi hata 5 ila sasa hivi ni hatari sana kwa nini
 
Naona vigagula mmekuja kuwanga ,

Tupo pamoja kifupi matokeo haya nayapenda
Acha uongo wewe. Kila msimu Arsenal iko hivi. Mimi sioni utofauti. Mtafanya vizuri mkinunua wachezaji wa maana.
 
Laca Auba Pepe hawajaanza leo? Tierney hajaanza? Ok nimekumbuka Ozil hakuwepo
 
Timu yetu ina wachezaji wazuri lakini haina muunganiko wa kitimu,na kocha ndiye mwenye jukumu la kuunganisha timu lakini kafeli......

EMERY OUT.
Emery out halafu mtamchukua kocha gani atakayekubali kufundisha timu mbovu hivi.
Labda Mwinyi Zahara anaweza ila lazima ajifikirie mara mbili mbili
 
Reactions: ARV
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…