Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Usipende kuongea kitu bila ushahid , mchezaji gan hajitumi kwenye mazoez ? Una ushahid?
 
@Aroon Arsenal ukiwa na Ozil na Ceballos at the middle labda DM uanze na LT11 lakini kama DM utaanza na Xhaka ujuwe kabisa tutacheza mpira mwingi ili lazima tufe goli si chini ya 5 tukikutana na watu makini.
 
Raul alikana , Jana Emery kasema wanahusika wote na bodi

Ozil kasema bado yupo sana hadi 2021
 
NAITAKIA USHIND ARSENAL

KOCHA BADO NI JIPU , Bado Anawachezesha out of their natural position
XHAKA NA CEBALLOS NA GUNDOUZ.


NAMBA SITA TORREIRA NI YAKE


NAMBA 8 NI CEBALLOS


ALAF 10 NI OZIL


HAKUNA NAMBA 6 YENYE NGUVU HICHO KIKOSI
AMEWEKA HIVO KUWAPOTEZA TU
ILA SIO SAWA, MAANA LEO ALIAMBIWA AKIFUNGWA ATAJADILIWA KUTIMULIWA...



NAMBA 10 na 6 LAZIMA ZIPWAYE

CEBALLOS NI MZURI NAMBA 8
 
Ian Wright

I'm very disappointed to see that Özil not in the squad because when you look at Arsenal's creative stats, they're not up there,

They're actually not creating as much... So that says to me you need somebody who's creative to be playing there.

Mesut Özil is that guy, ARSENAL on Twitter
 
Leo calum chambers kuna uwezekano wakupata lawama kubwa sambamba na wale wazee wa kati😂😂😂😂

Hii ndio arsenal ambayo kuna wakati ni afadhali ya jana.

NB:Tujiandae kwa lolote...
 
Okay guys - here is my ideal line-up today.

Laca
Auba Pepe
Ozil

Torreira Guendouzi

Tierney Holding Sokratis Bellerin

Leno
 
Photos: The Arsenal squad wearing their new 424 on FAIRFAX suits, after their announcement with the brand earlier this month.
[@Arsenal] #afc
 
Rollin' out the red carpet for royalty


Always a pleasure to have you back home with us, @ThierryHenry


#ARSCRY
 
Josh Kroenke is at the Emirates today. Stan Kroenke is at Wembley to see the LA Rams.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…