Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Ananikera sana anavyo-handle issue ya ozil mkuu. Hapo ndio dunia nzima hata Sisi tunaomtetea atatuona nyoko soon.Mkuu na wewe unamkataa
Yani hii ni game ya 5 mfululizo Ozil hawekwi hata bechi na mazoezini yupoHuyu kocha kinachomkosti ni ugomvi wake na ozil.
Kama analeta mabifu yake ya kingese atupishe tu
Aaaanina zake unaiYani hii ni game ya 5 mfululizo Ozil hawekwi hata bechi na mazoezini yupo
Laca bench atachezea sana kama Emery ataendelea kuwepo
Ceballos bench linamuhusu pia
Lt11 ndio kila day ni bench ,akiingia anapelekwa out of position
Dah mkuu wewe na team yako mumechana mkeka wanguPepe anasaliti kambi sasa
Tunajua pepe ni mchezaji mzuri, asubiri kwanza emery asepeshwe
Ila bado sare haimlindi , maana mashabiki wamemwambia Edu tatizo sio matokeo, tatizo hata timu inabyocheza
Huyu jamaa ukimtetea atakusaliti tu,Ananikera sana anavyo-handle issue ya ozil mkuu. Hapo ndio dunia nzima hata Sisi tunaomtetea atatuona nyoko soon.
You know they were saying, United was wrong kumfukuza Mourinho baada ya issue yake na pogba lakini somet6hawa makocha wanakuwa wapumbavu
Kuna mgomo barid , subir kwanza baada ya mech 3Dah mkuu wewe na team yako mumechana mkeka wangu
Pepe kaona atusaliti sisi ,Dah mkuu wewe na team yako mumechana mkeka wangu
Uzuri bodi haiangalii ushind ,tayari mpira tunaocheza hauridhishiHuyu Pepe anafanya nini tena huko
Dah kaniboaPepe anampenda Unai usiku mwema
Pepe kaona atusaliti sisi ,
Kwann usiulize kuwa hao tunaotaka wacheze , ni wacheze kwenye mfumo gan , na wacheze na kina nan?
Haya mambo ya Arsenal huwez kuyajua , mm nakushauri kapambane utoke nafas ya 12
Matatizo ya Arsenal ni zaid ya kupangwa hao,
Ndio maana Dunia nzima Kauli za mashabiki wa Arsenal ni moja kuhusu kocha katika nyanja za Poor team selection ,poor tactic , Team haina creativity, na baadhi ya wachezaji wanaachwa au wanapangwa out of position
Kwahiyo nakushauri matatizo ya Arsenal huyajui ,