Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi unai anasomaga twitter kweli kuna tusi nimelihifadhi muda nataka nikalitue katika page yake
 
Wakuu hivi tusi kubwa kuliko yote kwa kihispaniola linatukanwaje maana nilitaka nikalishushe kwa lugha ya malkia lakini nimeona halitamuuma......
 
Mnajitekenya wenyewe sasa
 
Naangalia mechi ya Man United hapa BT2, kiukweli hatuchekani
Forward yao butu. Isipokua wenzetu wanabebwa so hata penati wanagewa na wapinzani hawagewi.

Sasa Emery hilo halijui.
 
Huyu kocha mpuuzi ina maana hata mechi ya leo Ozil hata benchi hayupo,yaaaani agggggriiiiiiiiiiiiiiiiiiiihhhhhhh.............................................................................*&#%*#&#&$"@&#&$+#&&#-#&#&
 
Willock hajaiva hata kucheza timu D
Yaan Smith Rowe katoka injury week iliyopita Leo kaanza[emoji1787][emoji1787]


Lacazete alishapona toka game ya man u ila alianza bench[emoji1787]
Ceballos nae naona yanaweza yakamkuta ya ozil[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa willock


Ceballos hamtaki pia , maana hajaletwa na yeye , ni kama kwa toreira amemshushia sana heshima ,anasema et alimuhitaji fabinho,

Kwahiyo LT11 ataendelea kuchezea bench , anayefata ceballos na Lacazette
 
Mashabiki wa Arsenal tuna furaha ya kufungwa hehehe ila najua Unai atashinda tu hii mechi Mimi namsubiri next fixtures Crystal palace Wolves na Leicester city basi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…